M Morick Senior Member Joined Dec 11, 2012 Posts 114 Reaction score 17 Dec 24, 2013 #1 Wanabodi naomba kufahamishwa au kuelimishwa kuhusu nafasi ya wakala katika bank ya NMB. Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa wakala katika bank ya NMB ana kazi zipi na analipwa kiasi gani? Naomba kuwasilisha. ASANTENI
Wanabodi naomba kufahamishwa au kuelimishwa kuhusu nafasi ya wakala katika bank ya NMB. Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa wakala katika bank ya NMB ana kazi zipi na analipwa kiasi gani? Naomba kuwasilisha. ASANTENI