Nmb nmb nmb

Nmb nmb nmb

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habarini za asubuhi. jamani napenda kuuliza km kuna mwenye taarifa za nmb kuita kwenye interview kwa nafas walizotangaza tangu mwez wa kumi kanda ya kaskazini..
 
Ata mimi ni muhanga wa suala hili na pia sijapata taarifa yeyote kama watu wameitwa kwenye usaili au bado. Ngoja tusubiri watatujuza wenye taarifa na jambo hili hapa.
 
Back
Top Bottom