Next time tumia Nmb mobile kutoa au kuweka kwa kutumia Tigo pesa within no seconds muamala wako utakuwa umekamilika,
ila usijali si mda itaiingia maana Mpesa hutumia saa 24 hadi 72 kukamilisha muamala wa kibenki.
NMB is one of the most inefficient banks in the sub Saharan region. Moreover they have the most poor and incompetent dam customer care management unit!!! I hate this for life. Waliwahi kunikosesha jambo la maana na muhimu sana hawa watu. Incompetent fool.s. Sorry Mods I had to speak my mind!!!!
nikisikia benki hii naanza kuumwa kabisa wafanyakazi wanajisikia mno huwa naomba yafirisike ukipiga simu customer care utaambiwa tutalifanyia kazi tatizo lako hujaulizwa hata accounti na amekata simu siku nyingine unakuta hela zimepungua nilifunga account kabisa
NMB is one of the most inefficient banks in the sub Saharan region. Moreover they have the most poor and incompetent dam customer care management unit!!! I hate this for life. Waliwahi kunikosesha jambo la maana na muhimu sana hawa watu. Incompetent fool.s. Sorry Mods I had to speak my mind!!!!
Sure they must review their customer service trainer Maana Mimi niliwahi pata tatizo kwenye ATM NA nilikuwa nahuitaji WA hela mkubwa nimefika kwa hao customers service wananiambia tatizo langu ku credit account while sijapata hela litachukua wiki mbili mpaka tatu nilim mind sana Yule mama pale mjini yani alikuwa ananidanganya hivi hivi while other banks with in 24 hours una assurances ya kurudisha kwenye account husika
jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa nmb mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya mpesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo jumamosi hadi leo jumatatu hela yangu haijafika, nimepiga simu zaidi ya mara 60 kwenye customer service yao sijafanikiwa kuzungumza na mtoa huduma licha ya kwamba kuna wakati nimekaa hewani dakika 18 wananiimbia nyimbo tu huku namaliza charge kwenye simu yangu.
Nilikuwa naihitaji hiyo hela jumamosi nimekwamishwa, nimeulizia watu wengine wameniambia imeishawatokea kusubiri hadi wiki nzima ndio hela ikahama.
Wito wangu kwa bot, haya makampuni ambayo kutoa huduma za hovyo ndio sera zao msiwape leseni ya kutoa huduma sensitive kama za mobile money, wanatutesa na kutunyanyasa wateja na hatuna mtetezi. Hapa nilipo hela haipo kwenye account na haipo kwenye simu kwa siku mbili, nini haki yangu. Nmb ni janga la kitaifa, ingawa tumejiunga kwa sababu za ukabwela wetu, tunaomba mtuthamini walau kidogo.
Karibu katika tawi letu lolote la NMB lililo karbu nawe. Ukifka nenda, customer service depatment, ukfka jieleze, then kuna fomu watakupa uijaze. Ukmaliza kuijaza warudshie, then wao wataituma mda huo huo Makao Makuu na ndani ya masaa 24 Makao Makuu watakua wamekurudshia hela yako.
NOTE: Jumamosi na Jumapili Makao Makuu huwa hawafanyi kazi, kwahyo ni bora ukaenda kati ya J3 na Alhamisi.