Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,326
- 2,942
hii app inabagua watumiaji wa iphone ni mpaka android,nmb inabidi waliangalie hili
Nope. Hauwezi kwasababu ile App Behind the scene inatumia USSD codes zile zile na ndio maana ukiweka App kwenye simu zenye double lines hafu ukawa umeweka Dials zote ziwe laini ambayo haujasajilia NMB mobile inakataa.Ina maana ukiwa nje ya nchi au ukitumia Wi-fi huwezi kupata huduma kwenye hii app ya nmb mobile?
Unazungumzia app au ussd? Ukishasema app maana yake utatumia data mkuu. App haiusiani na salio tena. Hapo itabidi ujiunge kifurushi cha data ili utumie app.Hata crdb app yao ya sim banking pia inagoma kufunguka ukiwa hauna salio kwa watuamiaji wa tigo,sijajua kwa mitandao mingine
Mkuu crdb unaweza kuaccess hata ukiwa jupiter. Ili mradi umeshajiunga fresh na app ipo fresh. Hata line isipokuwa kwenye simu yani simu utatumia tu. Maana hakuna sehemu itakutumia one time password (otp).. huwa inahitaji neno la siri la simbanking.Nope. Hauwezi kwasababu ile App Behind the scene inatumia USSD codes zile zile na ndio maana ukiweka App kwenye simu zenye double lines hafu ukawa umeweka Dials zote ziwe laini ambayo haujasajilia NMB mobile inakataa.
hili ni tatizo kubwa sana. kuna kitu unaenda kuuliza mfanyakazi wa benki huku kichwani unajiuliza, "sijui kama wataelewa?"Nmb
Washamba kinoma, ingia crdb ujionee maajabu. Watu wapo vizuri, vijana wengi. Wanazijua product fresh. Nmb wazee wengi, wamechoka kinoma. Mfano nilitaka kupurchase online yani nilizungushwa hiyo siku, mwingine anasema chap chap haiwez mwingine anasema inaweza ikiwezeshwa. Me nikawambia basi iwezesheni.
Wakajaribu weee, mwisho wakasema system inasumbua itabid niibadili hiyo akaunti iwe ya kawaida. Hilo nikalikataa maana ingeanza kuincur makato.
Basi wakanipa option ya kufungua prepaid akaunti tena wanasema ni special kwa manunuzi. Nikakubali. Mchakato ukaanza. Nilipomaliza nikaambiwa niiwekee hela. Nilikuwa nina 90k. Nimeenda kwa cashier akawa haelewi eti, kabla hata hajalogin akasema mtandao wa hiz haupo, eeh bwana ee, niliudhika hiyo siku, nikarudi kwa aliyeifungua akanambia ingia bulk kuna mtu atakusaidia.
Kule nikakuta kuna sister flani nikamuuliza kwann mtandao wa prepaid haupo eti akajifanya kushangaa, akaniuliza nimejuaje. Nikamwambia cashier kasema. Akaichukua kadi yangu na hela akalogin akadeposit ile hela fresh. Akachukua simu akamcall huyo cashier akaanza kumind. Mwisho akamwambia akija mteja wa prepaid mwelekeza aje bulk.
Hii ikanipa picha kabisa kuwa hawa staff ni viazi kwakuwa hawazijui product zao.
Umemaliza. NMB kila siku lazima wanitumie OTP nikitaka kulogin.Mkuu crdb unaweza kuaccess hata ukiwa jupiter. Ili mradi umeshajiunga fresh na app ipo fresh. Hata line isipokuwa kwenye simu yani simu utatumia tu. Maana hakuna sehemu itakutumia one time password (otp).. huwa inahitaji neno la siri la simbanking.
Hivi unatumia nmb ipi mkuu?Umemaliza. NMB kila siku lazima wanitumie OTP nikitaka kulogin.
NMB mobile banking inasumbua sana maeneo mengi labda huko dar iko vizuriHivi unatumia nmb ipi mkuu?
Natumia nmb App nimeinstall kwenye Msouth Korea mfano Samsung ya laini mbili HAPA NATAKIWA NI HAKIKISHE KITU GANI?suluhisho ni hili
kama unatumia nmb app umeinstall katika mchina mfano techno,au infinix au dogoli lolote la laini mbili BASI HAKIKISHA LINE AMBAYO UMESAJILI NMB MKONONI IWE UMEISET KATIKA CALL YAANI UNAINGIA KWA SETTING THEN SIM CARD PALE UTAKUTA ( MOBILE,CALL,SMS) SASA KWENYE CALL HAPO CHAGUA LINE AMBAYO IMEUNGANISHWA NA NMB MKONONI.. kutokea hapo utakuwa unalog in tu bila wasiwasi kabisa
suluhisho ni hili
kama unatumia nmb app umeinstall katika mchina mfano techno,au infinix au dogoli lolote la laini mbili BASI HAKIKISHA LINE AMBAYO UMESAJILI NMB MKONONI IWE UMEISET KATIKA CALL YAANI UNAINGIA KWA SETTING THEN SIM CARD PALE UTAKUTA ( MOBILE,CALL,SMS) SASA KWENYE CALL HAPO CHAGUA LINE AMBAYO IMEUNGANISHWA NA NMB MKONONI.. kutokea hapo utakuwa unalog in tu bila wasiwasi kabisa
Nilishasolve cha muhimu kwenye app yenyewe inakuelekeza nini cha kufanyaMpaka leo hamna aliyejibu