road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Hata tigo kwa Postal Bank naona inagoma wakati nina kitu kama 800 kwenye salio la muda wa hewani
Mara ya mwisho kutumia Airtel ilikuwa lini,maana mwezi huu bila salio kwenye sim haungiiAirtel naona ndo wazalendo pekee walobakia. Wasitugeuke tu na wao.
Leo nimetumia na sikuwa na salio la kawaida.Mara ya mwisho kutumia Airtel ilikuwa lini,maana mwezi huu bila salio kwenye sim haungii
Watawageuka tu maana ni kama kuna vita baridi kati mobile service operators na banks kwa sababu ya huduma za kifedha.Airtel naona ndo wazalendo pekee walobakia. Wasitugeuke tu na wao.
Daah!! Kazi ipo.Watawageuka tu maana ni kama kuna vita baridi kati mobile service operators na banks kwa sababu ya huduma za kifedha.
Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu.Daah!! Kazi ipo.
Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu. Ninachoona hapa ni kwamba makampuni ya simu yanaweza pandisha bie ya kutumia huduma za kifedha/bank kuwa ghali zaidi. Banks inabidi wawe na apps zao ambazo unatumia bundle tu , inakuwaje bank kubwa kama NMB hawana app?
App ipo.Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu. Ninachoona hapa ni kwamba makampuni ya simu yanaweza pandisha bie ya kutumia huduma za kifedha/bank kuwa ghali zaidi. Banks inabidi wawe na apps zao ambazo unatumia bundle tu , inakuwaje bank kubwa kama NMB hawana app?
Kiukweli huu ni ujinga kabisa!! Sina salio la mtandao ila benk nina pesa!!!sasa nikitaka kuingia NMB mobile ina shindikana huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa!! Sasa nmb mobile hii huduma ina maana gani!?? Yan aliyeleta huu utaratibu ni mpumbavu sana sana!! Kwann hafikiruu kuna watu tupo vijijini hij huduma yaweza kuwa msaada!?...
Asante kwa taarifaTumia app ya nmb ni bure kabisa unless uwe hutumii smartphone...!
Kumbuka watumishi ni lazm mshahara upotie bank na nmb ni countrywise pia ukia hata semina za serikali nmb wanaanza pokea pesa kuliko bank yoyote ile!!!yan nmb mnasnza pokea bank nyingine wanasuburi hata week !!! Hivyo kusema nmb ni ya kishamba hujui unachokiongeaMleta mada issue ipo hivi:
Mabenki huwa yanaingia mikataba na makampuni ya simu. Unapotumia hiyo huduma bure ni kwamba benki inamlipa mwenye kampuni ya simu. Kama hawamlipi maana yake hutaweza kuingia mpaka uwe na salio, hii ni kwa ussd.
Mobile app, yenyewe itahitaji MB tu unaingia fresh.
Sema ujinga wa nmb, wanataka namba iliyosajiliwa na nmb mkononi ndio hiyo iwe na bando kwa wale wanaotumia App. Hii inaudhi kishenzi.
Crdb ukishakuwa na mob app, unatumia data kutoka mtandao wowote
NMB WENGI WAZEE, WASHAMBA KINOMA