K kihagav Member Joined Mar 2, 2014 Posts 20 Reaction score 7 Feb 28, 2017 #1 Nimemaliza mkopo wenu kiroho safi tuh ....... lakini naona bado mnaendelea kufanya yenu!.....tafathali sanah!.....Acheni kuwaibia maskin bhanah!
Nimemaliza mkopo wenu kiroho safi tuh ....... lakini naona bado mnaendelea kufanya yenu!.....tafathali sanah!.....Acheni kuwaibia maskin bhanah!
K kihagav Member Joined Mar 2, 2014 Posts 20 Reaction score 7 Feb 28, 2017 Thread starter #2 Maskini wenzangu tuwe macho.....hizi taasisi za fedha zinatuibia sana watu wa chini!
Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,742 Reaction score 7,431 Feb 28, 2017 #3 Ndio maana waindi wanaweka pesa zao nyumbani. Na kwenye benki zao za kihindi
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Feb 28, 2017 #4 kihagav said: Nimemaliza mkopo wenu kiroho safi tuh ....... lakini naona bado mnaendelea kufanya yenu!.....tafathali sanah!.....Acheni kuwaibia maskin bhanah! Click to expand... Sasa ndugu yangu umeshindwa kwenda tawi lao kuonana na uongozi na kuwapa malalamiko yako?? Nilitegemea kwamba ungeleta uzi hapa kama jitihada hizo zingefeli.
kihagav said: Nimemaliza mkopo wenu kiroho safi tuh ....... lakini naona bado mnaendelea kufanya yenu!.....tafathali sanah!.....Acheni kuwaibia maskin bhanah! Click to expand... Sasa ndugu yangu umeshindwa kwenda tawi lao kuonana na uongozi na kuwapa malalamiko yako?? Nilitegemea kwamba ungeleta uzi hapa kama jitihada hizo zingefeli.
mwandagoo Senior Member Joined Jan 14, 2017 Posts 195 Reaction score 83 Feb 28, 2017 #5 Tawa gani ndugu? Tuwatumbue
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Feb 28, 2017 #6 kihagav said: Maskini wenzangu tuwe macho.....hizi taasisi za fedha zinatuibia sana watu wa chini! Click to expand... Kama bay port wanafyeka balaa
kihagav said: Maskini wenzangu tuwe macho.....hizi taasisi za fedha zinatuibia sana watu wa chini! Click to expand... Kama bay port wanafyeka balaa