wengi ni walimu ndugu yangu.....sijui walilazimishwa wawe na ac kule
wengi ni walimu ndugu yangu.....sijui walilazimishwa wawe na ac kule
Sio tu huduma zao ni mbaya; wafanya kazi wao ni jeuri kwa wateja hawajui kabisa mambo ya customer care; ukitaka kujionea wafanyakazi wa benki jeuri we nenda pale tawi lao la Mwenge lililopo nyumba moja na TRA!! Ujeuri wao umenifanya nifunge account yangu hata nikauza hata hisa zao kwani nilijua uzembe wao utaathiri thamani ya hisa zao ambazo kweli zimeshuka kwenye soko la hisa!!
wengi ni walimu ndugu yangu.....sijui walilazimishwa wawe na ac kule
ndiyo walilazimishwa! baadhi ya sehemu hawakupewa nafasi ya kuchagua bank wanayoitakawengi ni walimu ndugu yangu.....sijui walilazimishwa wawe na ac kule
Hamia Benki nyingine. Hii ndiyo moja ya faida kiduchu za utandawazi. Kma huduma mbovu basi unaenda Benki nyingine zeney huduma bora zaidi. JARIBU CRDB Bank!!!!!!!!!!!!!!!
Kamanda wewe kama mimi.