NMB Bank hovyooo kabisa!


Amahoro, ukiachunguza huduma za benki kwa undani unaweza ukafunga akaunti yako. Kuna kipindi nilikuta wamekata 1000 kwenye akaunti yangu kuwauliza wanasema yalitokea makosa ya kibenki, je kama wakikata tshs 1000 kwa wateja 100 kwa wiki, na kumbuka 1000 sio rahisi kugundua kama imepungua kwenye akaunti yako maana wengi hatuna utaratibu wa kuomba bank statement. Hapa kigoma kuna mdada mmoja yupo Crdb mikopo ana lugha ya chooni. Sijui wamemtoa wapi
 
dawa yao iko jikoni tunawasubiri equity bank wafungue bank zao tuwahame...!

ni heri yako we mtu wa ajabu umeshindwa kujivunia chako, unaamua kujivunia kitu cha mwenzako (equity bank c ni kenyan bank), kumbuka pia kcb nao wameishia mikoa minne tu tanzania duh kweli miafrika ndo tulivyo
 
tigo pesa na mpesa ndio suluisho kwa sasa

na uko nako jiandae na serious problem ya network, balansi ndogo kwa agents, kuna vijifolen vya kimtindo, ukikosea namba wkt wa kutuma sahau kurudishiwa, Charge zake ni kubwa mf withdrawal ya laki5 u pay not less than 10,000.00, pia ur balansi has not to go beyond tshs. 1milion. Habari ndo iyo
 
ni heri yako we mtu wa ajabu umeshindwa kujivunia chako, unaamua kujivunia kitu cha mwenzako (equity bank c ni kenyan bank), kumbuka pia kcb nao wameishia mikoa minne tu tanzania duh kweli miafrika ndo tulivyo
we vipi hayo mambo ya kizamani,unajivunia ujinga...tunaangalia good service and not otherwise!hata hizo unazojivunia mbona ziko chini ya makaburu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…