Nlimpenda sana hapa akanikata maini kabisa... Nikashindwa simamisha

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Miaka hiyo ya nyuma nlifanikiwa safiri na demu mmoja mkali kwenye siti moja.bahati kama hizi ni nadra sana kutokea. Sometime unajikuta mmekaa kwenye siti wote sura zenu za stress. Yaani hapo ndo unaona mtu analazimisha dereva akimbize basi ili afike haraka

Ukikaa na mtoto mzuri yaani unaombea dereva awe makini sana.kila saa unacheck speed yake.akionesha tu kuwa rough unafoka...ndiyo. Unaogopa msije pata ajali na mtoto mrembo pembeni yako.basi naye anakushukuru unajiongezea points.

Safari ilitufikia hadi usiku.tunaenda Mwanza.kufika mitaa flani demu amebanwa na haja kubwa. Akaomba nimwombee kwenda jisitiri.si alishaniona mbabe kwa dereva.basi nikaenda kwa dereva nami kibabe kweli kweli.

Dereva akatafuta sehemu akasimamisha bus.demu akanitaka nishuke naye...nikapiga ngumi kifuani kimoyomoyo nikaone hapo pia nmeongeza points kadhaa.

Tumechepuka mpaka sehemu ya kificho kidogo kachuchumaa.kama sekunde 40 mpaka dk 1 alikuwa anatoa gesi tu kwanza.nilikuwa najizuia kucheka. Yaani ni kama radi kabla ya mvua...

Then akaanza ku pooh...hapo jenga picha ya mvua na ngurumo za hapa na pale.kilichonivunja moyo ni kuwa ile sehemu nlikuwa nmesimama ndo upepo unakuja.yeye amenipa tu mgongo. Harufu ilikuwa kali sana.aiseee... haiendani naye kabisa.

Hapo nikashindwa vumilia nikawa naenda mbele yake unakotoka upepo.akashtuka.nikamwambia asihofu nakaa mbele ya upepo.hapo akagundua issue ikoje.dada alikuwa na choo chenye smell kali sana.

Hilo lilinikata stimu kabisa.yaani daaah....mashine ikalala.nikawa nawaza mrembo kala nini. Nmerudi kwenye bus na mawazo mengi sana. Mashine this time imepigwa na bumbuwazi.yaani namwazia dada mrembo na figure kali anakunya choo kina harufu kali namna ile? Why?
 
Mkuu Ccm ikishinda tanzania inasemekana tumeshinda
Mitano tena, twende polepole kwa vijana kama huyu mleta mada kwa akili yako atakuwa amepiga kura kweli huyu???
 
Unaweza kufikiri kuwa kwenye uchaguzi huu hakuna watu walionyang'anywa haki zao za kuishi pamoja na watu kubakwa na kulawitiwa huko Pemba na Tanzania bara.Unaweza kufikiri kila kitu ni shwari!
 
Miaka hiyo ya nyuma nlifanikiwa safiri na demu mmoja mkali kwenye siti moja.bahati kama hizi ni nadra sana kutokea. Sometime unajikuta mmekaa kwenye siti wote sura zenu za stress. Yaani hapo ndo unaona mtu analazimisha dereva akimbize basi ili afike haraka

Ukikaa na mtoto mzuri yaani unaombea dereva awe makini sana.kila saa unacheck speed yake.akionesha tu kuwa rough unafoka...ndiyo. Unaogopa msije pata ajali na mtoto mrembo pembeni yako.basi naye anakushukuru unajiongezea points.

Safari ilitufikia hadi usiku.tunaenda Mwanza.kufika mitaa flani demu amebanwa na haja kubwa. Akaomba nimwombee kwenda jisitiri.si alishaniona mbabe kwa dereva.basi nikaenda kwa dereva nami kibabe kweli kweli.

Dereva akatafuta sehemu akasimamisha bus.demu akanitaka nishuke naye...nikapiga ngumi kifuani kimoyomoyo nikaone hapo pia nmeongeza points kadhaa.

Tumechepuka mpaka sehemu ya kificho kidogo kachuchumaa.kama sekunde 40 mpaka dk 1 alikuwa anatoa gesi tu kwanza.nilikuwa najizuia kucheka. Yaani ni kama radi kabla ya mvua...

Then akaanza ku pooh...hapo jenga picha ya mvua na ngurumo za hapa na pale.kilichonivunja moyo ni kuwa ile sehemu nlikuwa nmesimama ndo upepo unakuja.yeye amenipa tu mgongo. Harufu ilikuwa kali sana.aiseee... haiendani naye kabisa.

Hapo nikashindwa vumilia nikawa naenda mbele yake unakotoka upepo.akashtuka.nikamwambia asihofu nakaa mbele ya upepo.hapo akagundua issue ikoje.dada alikuwa na choo chenye smell kali sana.

Hilo lilinikata stimu kabisa.yaani daaah....mashine ikalala.nikawa nawaza mrembo kala nini. Nmerudi kwenye bus na mawazo mengi sana. Mashine this time imepigwa na bumbuwazi.yaani namwazia dada mrembo na figure kali anakunya choo kina harufu kali namna ile? Why?
 
Miaka hiyo ya nyuma nlifanikiwa safiri na demu mmoja mkali kwenye siti moja.bahati kama hizi ni nadra sana kutokea. Sometime unajikuta mmekaa kwenye siti wote sura zenu za stress. Yaani hapo ndo unaona mtu analazimisha dereva akimbize basi ili afike haraka

Ukikaa na mtoto mzuri yaani unaombea dereva awe makini sana.kila saa unacheck speed yake.akionesha tu kuwa rough unafoka...ndiyo. Unaogopa msije pata ajali na mtoto mrembo pembeni yako.basi naye anakushukuru unajiongezea points.

Safari ilitufikia hadi usiku.tunaenda Mwanza.kufika mitaa flani demu amebanwa na haja kubwa. Akaomba nimwombee kwenda jisitiri.si alishaniona mbabe kwa dereva.basi nikaenda kwa dereva nami kibabe kweli kweli.

Dereva akatafuta sehemu akasimamisha bus.demu akanitaka nishuke naye...nikapiga ngumi kifuani kimoyomoyo nikaone hapo pia nmeongeza points kadhaa.

Tumechepuka mpaka sehemu ya kificho kidogo kachuchumaa.kama sekunde 40 mpaka dk 1 alikuwa anatoa gesi tu kwanza.nilikuwa najizuia kucheka. Yaani ni kama radi kabla ya mvua...

Then akaanza ku pooh...hapo jenga picha ya mvua na ngurumo za hapa na pale.kilichonivunja moyo ni kuwa ile sehemu nlikuwa nmesimama ndo upepo unakuja.yeye amenipa tu mgongo. Harufu ilikuwa kali sana.aiseee... haiendani naye kabisa.

Hapo nikashindwa vumilia nikawa naenda mbele yake unakotoka upepo.akashtuka.nikamwambia asihofu nakaa mbele ya upepo.hapo akagundua issue ikoje.dada alikuwa na choo chenye smell kali sana.

Hilo lilinikata stimu kabisa.yaani daaah....mashine ikalala.nikawa nawaza mrembo kala nini. Nmerudi kwenye bus na mawazo mengi sana. Mashine this time imepigwa na bumbuwazi.yaani namwazia dada mrembo na figure kali anakunya choo kina harufu kali namna ile? Why?
Tanzania my country
 
Back
Top Bottom