Nlichokiona makaburuni!

Hawa mbona Kama wakongoman??? Na huyo anayefanyiwa mbona Kama kichaa?? Na hapo si makaburini?? Connect dots. Cc Mshana jr.
 
Hii picha ilishawekwa humu miaka Zaidi ya mitatu iliyopita na ilitolewa katika mtandao mmoja wa Congo
 
Leo ni mapumziko ya siku muhimu hii ni nini sasa au ndio tunamuenzi mkulu hivi?
 
Kitendo cha kushikwa mikono miwili tu kinaashiria ubakaji.
Huo ni ukatili na unyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…