#Nkuba4TLSPresident

iamwangdamin

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,421
Reaction score
2,766
"Mawakili wenzangu habarini za asubuhi, kama tulivyoahidi mwanzo wa kampeni kuwa tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda uchaguzi wa Urais wa TLS ili kuijenga TLS moja, imara na huru kwa kuhakikisha maslahi ya mawakili yanapewa kipaumbele.


Tumeuza sera/Vipaumbele vyetu vilivyomo katika manifesto yetu na mawakili wengi wameelewa na kutuunga mkono.


Naomba kuwahakikishia kuwa uungwaji mkono wetu ni wa hali ya juu sana ushindi wetu ni ushindi wa TLS.


Nawasihi sana, tuendelee na kampeni za kisasa na za kistaarabu. Tusimtaje wala kumchafua mtu wala tusijibu kwa hamaki wanapotuchafua.


Utulivu wetu ndio nguvu yetu na ndio ushindi wetu"- @Nkubaiv


#Nkuba4TLSPresident ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…