Nkamia azomewa Jimboni kwake

Arudi TBC akatangaze mpira kwa kuwa ndio fani yake!
 
Kama ulikuwa uonekani jimboni daw ndio hiyo na lazima wakumbuke sasa ni Utanzania kwanza hata akija mpumbavu mwengine lazima tajiuliza mara mbili mbili kilichompata alie mpisha kijiti,,,
 
Huyu Mkamia ashakuwa Mgamia kila mtu anampanda kichwani, hakika siasa ni uwanja wa fujo.
 
Ktk wabunge ambao siwapendi nkamia ni no 1,nitafurahi asiporudi mjengoni
 
Hakuna alichofanya zaidi ya kutukana bungeni, asirudi tena hyo
 
safi sana wananchi wa jimbo la Chemba kuanza kumkataa mapema huyu jeuri Nkamia
 
sishangai watu wengi wa dodoma ni wajinga juzi kati nilipita chemba mpaka kondoa kusema kweli kondoa kusini(chemba)kwa nkamia kumechoka kama kulivo bahi kwa badwell bora kondoa mjini
 
Eti aliwaamuru WANANCHI wa Nchemba wakapigane na WAFUGAJI? Kuna tofauti gani kati Wananchi na Wafugani? Ndo maana kuna tetesi kwamba nyuma ya hii migogoro kati ya wakulima na wafugaji kuna wanasiasa.

Kama kweli alihamasisha hilo anafaa kwenda jera
 
Hawezi kwenda tena tbccm maana alishaingia siasani...so ajira ilikufa rasmi
 
Wananchi wa kondoa mkimrudisha huyu jamaa mtakuwa wendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…