NJUNWA WA MAVOKO anahusika hapa!!!!

NJUNWA WA MAVOKO anahusika hapa!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,466
Reaction score
822
Nlinunua pd proxy kwa tab yangu na nliistall package yake na kila kiti kikawa safi sasa tatizo vpn haiconnect kama hakuna kifurush au credid kwe line ila nkiweka kifurushi inaconnect ila kifurush kinakwisha kama kawa na kikiisha haiconnect ,yaan kiasi kwamba imekuwa haina kazi yeyote na tab yangu ina 4.2.1jelly been android nini tatizo? Na nina vpn ya mwezi mzima ishalipiwa.
 
Tatizo watu wengine wanazoea uhalifu mpaka unakuwa halali kwao !!
 
Nlinunua pd proxy kwa tab yangu na nliistall package yake na kila kiti kikawa safi sasa tatizo vpn haiconnect kama hakuna kifurush au credid kwe line ila nkiweka kifurushi inaconnect ila kifurush kinakwisha kama kawa na kikiisha haiconnect ,yaan kiasi kwamba imekuwa haina kazi yeyote na tab yangu ina 4.2.1jelly been android nini tatizo? Na nina vpn ya mwezi mzima ishalipiwa.

Wewe unafikiri ni kudownload pdproxy na kuinstall tu? Kuna configuration zake ili uweze kukamua, thats where wakina mwl R.C.T Njunwa, Munjy1 na wengine comes in! Kwanza umeinstapp pd-proxy au droidVPN?!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mtusaidie hsasa?si unajua kila siku twajifunza
 
Nlinunua pd proxy kwa tab yangu na nliistall package yake na kila kiti kikawa safi sasa tatizo vpn haiconnect kama hakuna kifurush au credid kwe line ila nkiweka kifurushi inaconnect ila kifurush kinakwisha kama kawa na kikiisha haiconnect ,yaan kiasi kwamba imekuwa haina kazi yeyote na tab yangu ina 4.2.1jelly been android nini tatizo? Na nina vpn ya mwezi mzima ishalipiwa.

Vitu vingine ni vya kuongelea CHAMBER kaka au uchukue CUSTOMER CARE no 0657209956 au 0753932250
nataka kukosoa kuwa PD PROXY haitumiki kwenye SIMU
attachment.php


au uenda uliwekewa TROIDVPN ila tutaongea Vizuri PM

na hamna deduction ya hela yoyote unakula kitu BURE kabisa
 
Mi natumia na naenjoy kama kawa,hatahivyo kama haiconnect si uwasiliane naye kwani kuna umuhumi wa kuja kuanzisha uzi huku jukwaani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom