Njooni muone Reli ya Kati

ahahahahaha huo mti umeota wenyewe hapo au umeoteshwa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii Dar Moshi nini? Au ya Singida Dodoma maana hizi hata mbuyu ukiota hapo utaanza kuangusha matunda, masikini reli zetu
 
hpn haiwez kuwa reli ya kat hyo hata ikiwa ya kat itakua ni upnd ambao hautumiki kwa sababu mwez hauwezi pita bila treni kupita huko,hata ya tanga haipo hvo wakt treni haifiki kwa mda mref xx.
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Kitu pekee cha Kweli kutoka Kwa Mwanasiasa Ni jina lake Na Salamu!
Hahaha angalia Naibu waziri wa afya asikusikie ,na kuna yule mwingine ni Profeseri wa miamba tunasikia toka kwa Mengi kwamba walichukua majina ya wengine
 
Hahaha angalia Naibu waziri wa afya asikusikie ,na kuna yule mwingine ni Profeseri wa miamba tunasikia toka kwa Mengi kwamba walichukua majina ya wengine
Ha ha ha haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…