Habari za kutwa wana jf nahitaji kuhamisha makazi baada ya kuona fulsa huko songea na kodi bado kabisa hadi 11•04•2019.
KODI NI 80000 KWA MWEZI NI CHUMBA NA SEBULE KUBWA YENYE UWEZO WA KUCHUKUA SOFA SETI NZIMA, MEZA, KABATI NA NAFASI IKABAKI.
Nyumba ipo ndani ya fensi inanafasi ya kupaki gari na nisalama kwa familia.
Nyunba ipo gongo lamboto markazi.
Mawasiliano piga 0657623266
KWA ATAKAE HITAJI ATALIPIA 300000 ATAKAA HADI 11•04•2019