Njoo ujifunze maujanja ya technologia!!!

mkulima maskini

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
254
Reaction score
50
Njoo ujifunze maujanja ya technologia kwa kutumia simu au computer yako kwa urahisi na ujuzi zaidi!!!
1)Kuunganisha CPU na tv yako,
2)jinsi ya kujua quality ya movie, na uzuri Wa movie kabla hujaiangalia
3)kudownload movie and series kwa urahisi zaidi
4)takupatia website matata za kupata na kudowload subtitle ya movie yeyote
5)kusave doc(picha, video) zako muhimu bila kutumia memory,
6)kuconvert na kuedit pdf kwenda kwenye mfumi wowote
7)kusave # za simu kwenye gmail
8)kuongeza space & speed kwenye simu yako,
9) matumizi ya Ms. excel & word
Na mengine mengiii sana dunia iko mikononi mwako! Karibuni katika ulimwengu Wa technologia,
Ada kwa mwezi ni 3000/- tu, tuma direct M-PESA kwa no. 0762243055 kisha nitext jina lako ulilotumia ntakuunga mara moja kwenye kundi. Masomo yataanza tareh 2 Jan. 2017
 
Kautafiti nilikokafanya ni kuwa hapa JF kuna wasomi mpk wenye PHD sasa wewe uko likizo mwaka kwanza unaona hapa hakuna wajuaji.
 
Wajinga ndio waliwao...
Utawapata naona unatumia fursa.
 
Ni kitu kizur na hayo ni miungoni mwa mambo nnayopenda kujifunza.Lakn,unatuhakikishia vp kwamba we'si tapeli?
 
Ntakua mteja wako aisee naomba email yako plz
 
YouTube na Google zinafundisha yote hayo bureeee bila ata senti.

Wajinga ndiyo waliwao.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ