Sitasahau nilipofanyiwa makusudi na mdada mmoja hivi...halafu maskini ya mungu amejaaliwa chura kuuubwa...kavaa dela tu na ndani sina hakika kama alikuwa amevaa pichu yulee(kama alivaa basi ilikua bikini) maana sponchi sio sponchi kitu kilainiiiii....cha ajabu sasaaa mwanzoni wala sikuwa na hisia kwakua nilikua napiga story na mshkaji wangu(sikuwa na habari kama kuna chura limenigusa kwenye mbanano)...alipoona haisi kitu chochote kinamchoma akaamua kukatisha maongezi yetu kwa kuanza kuniuliza eti 'samahani kaka,hivi nkitaka kujiunga kifurushi cha voda nabonyeza ngapi''.....mmmh nilivomjibu sasa ndo mabalaah yalipoanzia apo,mara alipeleke kushoto kisha analisugulia kulia,nikirudi nyuma nayeye anarudi...kheeee!!! si ndo abdallah kichwa wazi akaamka kutoka usingizini bhanaa,...cha ajabu hata akustuka wala kuogopa,tena ndo akazidi kurudi nyuma zaidi..la haulaaa!!!! abdala kichwa wazi akawa ana ufeel kabisa ule mstari wa ikweta...yaan yale matuta mawili yamegawanyika kabisaaaa...daaaah!! na suruali yangu ya kitambaa niliokuwa nimevaa maskini mimi nikahisi leo roho inatoka humu humu...kila dereva akiminya breki lile lidada linajirudisha kwa nyuma...doooh!! akanshangaza zaidi aliponigeukia halafu akniuliza,eti samahani kaka unashuka kituo gani?.....mmmh!!! nikaguna tuu sikumjibu kitu...konda alipopita tu kukusanya nauli nikampa buku ..mara gari likasimama kituoni,mimi fastaaaa hata sikumdai konda chenji nikashuka ndukiiii...breki kwa muuza maji ya baridi nikanawa uso kwanza nikae sawa...ndo nikakumbuka mshkaji wangu nimemuacha aendelee na safari....daaah!! wanaume tunapitia mengi saaaana
N.B...huu mchezo jamani ni ufirauni uliopitiliza na katu haustahili kuwepo kabisa kwenye jamii...wapo wanaume wapumbavu wanaopenda na kuufanya makusudi...lakini pia wapo wanawake wapumbavu zaidi wanaopenda kufanyiwa halafu wanakaa kimya,halafu na wale wanawake wapumbavu zaidi na zaidi wanawafanyia wanaume makusudi...