Njoo tuipe caption picha hii

6321

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
649
Reaction score
1,123
Habari wana JF
Polen na uchovu wa shamrashamra za sikukuu hii kubwa duniani. Picha hii nimeipenda sana na inatafakarisha kuipa baadhi ya maneno.

Karibu tuipe maneno picha hii
1. Unasema jana nilimwagia ndani
2. Unasema jana nilikuwa nagawa hela bar[emoji23]
Haya karibuni

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mke wangu we kwenye akiba Yako una shilingi ngapi,maana mwezi wa kwanza huoooo!

kuhusu Rozi huyo atakuja kumchukua shangazi yake tatizo huyu Ima anayeenda kusoma nje ya hapa Tz.

Maana hapa najaribu kufanya mahesabu nakuta Nina elfu hamsini tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
unasema mke wangu anatiwa na nani uko moshi ?

umemshuhudia mke wangu anaingia louge gani hapo moshi mjini ?

umesema shirima ndio amempelekea moto mke wangu migombani ?
 
hyo caption ya hela bar nimewahi kufanya hilo tukio asubuh nikapigiwa simu nashangaa😂
 
Unataka uniambie kuwa Exim bank wanakuja kupiga mnada nyumba yangu kesho🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…