Laizer Miradi
Member
- Jan 2, 2018
- 24
- 8
ila smatphone na bandle la kuingia jf unalo.. HahaaaaaaaaMwanangu mi ni mtaalam wa mathematics ila sina hata mia mfukoni n nipo mbeya
Sio kua ninalo tuila smatphone na bandle la kuingia jf unalo.. Hahaaaaaaaa
fenitureNipo Makambako ni mwalimu wa Sanaa. Tumeshasota mtaani vya kutosha. Niliamua kufanya utafiti kuhusu Huduma ya tuition kwa wanafunzi wa QT, PC na computer application.
Site IPO nzuri kabisa. Na ushindani wa soko ni mdogo. Changamoto tutakazozitoa kwa wengine itakuwa dira yetu ya kupanuka na kufanikiwa.
Nimeweka hapa kwa wewe mdau wa elimu ili tuweze kushirikiana kwa wewe uliye serious, ili tupeane idea juu ya mambo kadhaa, hasa kuhusu
1. Pango (kodi ya vyumba)
2. Samani (Feniture)
Karibu sana tupeane mawazo zaidi ili mwaka 2018 uwe ni mwaka wa Mafanikio kwa kile tulichonacho
Welcome
njoo tu betMwanangu mi ni mtaalam wa mathematics ila sina hata mia mfukoni n nipo mbeya
Mkuu betting ndo biashara nnayo taka niwekeze rasminjoo tu bet
Figurative language!ila smatphone na bandle la kuingia jf unalo.. Hahaaaaaaaa
ha ha fungua tuition mbeya bhanaMkuu betting ndo biashara nnayo taka niwekeze rasmi
mkuu kua mwalimu ni dharauha ha fungua tuition mbeya bhana
ila smatphone na bandle la kuingia jf unalo.. Hahaaaaaaaa
Mkuu acha namba yako uungwe na group la kubet basketball na sio football, usipotoka mwaka huu kwa kubeti basketball njoo unitukane hapa hapa na upige kampeni za kunitoa jamii forum..mkuu kua mwalimu ni dharau
Mimi ndo mwalimu wa kubet michezo mingine mbali na footballMkuu acha namba yako uungwe na group la kubet basketball na sio football, usipotoka mwaka huu kwa kubeti basketball njoo unitukane hapa hapa na upige kampeni za kunitoa jamii forum..
Ni ushauri tu
Feniture - FurnitureNipo Makambako ni mwalimu wa Sanaa. Tumeshasota mtaani vya kutosha. Niliamua kufanya utafiti kuhusu Huduma ya tuition kwa wanafunzi wa QT, PC na computer application.
Site IPO nzuri kabisa. Na ushindani wa soko ni mdogo. Changamoto tutakazozitoa kwa wengine itakuwa dira yetu ya kupanuka na kufanikiwa.
Nimeweka hapa kwa wewe mdau wa elimu ili tuweze kushirikiana kwa wewe uliye serious, ili tupeane idea juu ya mambo kadhaa, hasa kuhusu
1. Pango (kodi ya vyumba)
2. Samani (Feniture)
Karibu sana tupeane mawazo zaidi ili mwaka 2018 uwe ni mwaka wa Mafanikio kwa kile tulichonacho
Welcome
Hebu niunge hilo group la kubeti basketball 0625686556Mkuu acha namba yako uungwe na group la kubet basketball na sio football, usipotoka mwaka huu kwa kubeti basketball njoo unitukane hapa hapa na upige kampeni za kunitoa jamii forum..
Ni ushauri tu
nenda kwenye uzi wa jifunze kuibetua basketball ni rahusi kuliko footballHebu niunge hilo group la kubeti basketball 0625686556