Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
18,054
Reaction score
42,741
Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Hivi kuna siku uliwahi kuisubiri kwa hamu yaan ukawa na hamuu ya juu sana kupita kawaida?

Umewahi kutokea siku kama hiyo
Vipi siku husika ilivyowadia mambo yalikuaje
Matarajio yako yalikua kweli au ndiyo ulikua disappointed

Kuna kaka alinisimulia alikosea no akasikia sauti ya mrembo sauti laini akavutiwa wakaanza mahusiano kwenye simu basi ikafika wakati waonane mwenyewe anasema enzi hizo hakuna smartphone so kulikuwa hakuna access watumiane picha japo nowadays kuna filter ila walau unapata idea

Sasa wakapanga waonane walivyoonana mwenyewe anasema lahaulaaaaaaa 😲
akaona mmama mkubwa kama mwalimu wa secondary wale wanene

Aliishiwa pozi alichoka hoi alipigwabutwa
Akaapa hatarudia

Basi siku aliyoisubiri kwa hamu na matarajio makubwa ikawa imeharibika hivyo

Vipi wewe imewahi kukuta ?
Ukaishia kujutia muda wako ?

Au ulienda na matarajio ya kawaida tu, kumbe ukakutana na more than you expected ikawa blessing over blessing? πŸ˜„β€οΈ

ShesRise_1 🀚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…