Njoo nkuzie mashine ya kutengeneza popcorn

Njoo nkuzie mashine ya kutengeneza popcorn

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,098
Reaction score
137,350
Wale wajasiriamali wenzangu Nauza mashine ya kutengeneza popcorn
Mashine hii ni mpya
Naliuza tsh 380000/
Kwa mawasiliano piga sim 0715591141 dar nko

Ova
IMG-20180315-WA0010.jpeg
 
Mkuu punguza punguza kidogo nahitaji ila nipo mkoani
 
Chukua 120k faster nikutumia mpesa
 
Kuna mahala nimesikia hii biashara inalipa sana
 
Back
Top Bottom