Njoo hapa tufanye biashara chapu

Joined
May 28, 2017
Posts
54
Reaction score
18
Za leo wakuu, natafuta bodaboda aina ya toyo sitaki boxer maana ni yakupeleka kijijini ikapige mzigo huko kumbuka kwamba najua soko lilipo, so nimekuja hapa kwasababu najua mazungumzo yatakuwa mapana kabla ya kununua tutahitaji document halali pamoja kupima kifaa kama kipo vizuri Guarantee miezi 3.


Picha ni muhimu, napatikana Dar es salaam lakini mzigo utakuwa maeneo ya tanga,moshi, au Arusha itakuwa gudi kwangu coz itaendakufanya kazi mikoa hiyo.


Ahsante
 
Offer yako bei gani mm niko dara ninayo FEKON power 150
 

Naona umeshawapa ' Tenda ' iliyo wazi na nono Majambazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…