Njoo Dar ujifunze maisha

Ruhusu Mpango wa Mungu

Senior Member
Joined
May 15, 2023
Posts
137
Reaction score
221
Njoo Dar ujifunze maisha. Kisha rudi mkoa.

Chunguza machine itakayokufaa kwa fani uliyonayo

Baada ya miaka 2 chunguza rudi tena mkoa ukiwa na mashine mpya.

Sasa anza kutoa bidhaa kupeleka sokoni.

Faida yake
1)Utakuwa na soko zuri
2)kipato cha uhakika

Nimefunguka kwa sehemu,naomba na wengine wenye mawazo mbadala wafunguke
 
Hicho chuo cha mafunzo ya maisha kipo sehemu gani huko Dar?
 
Tafuta MTU dar mwaminifu.unaangalia kitu unique mtaani kwenu unaagiza dar.Unapiga pesa mnagawana
 
Darussalam

Au apo mzizima

Kwani we mkoani unapaonaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…