Njombe yamnyoosha Lowassa

Sitawaangushaa... nashangaaa!!!!!
 
dah, sijui mleta uzi alikua na maana gani kupotosha ukweli?

Lakini ashukuriwe mtu aliye unganisha uzi wa picha halisi za makambako na njombe, bg up.
 
ccm ni chama kizuri lakin watu wake wanaishi kwa uongo
 
Wanatukana tu wakiambiwa ukweli hadi aibu wamezoea kubeba raia na mafuso sasa wameanza kuishiwa na sanaa
 
Picha mbona za watu tu hamna Mheshimiwa Lowassa
We need evidence
 
hao ni wale waliokesha na kulala uwanjani kumsubiri. hiyo picha itakua ilipigwa saa 12 au saamoja usubuhi kabisa...
 
Huyu uongo wake wa Ajabu.Kurusha picha Hivi yenye mtazamo tofauti hajui kwamba TV Zinaturushia hali halisi ya matukio?Mbona kiwewe jamani?Kwa nn tunatoka jasho?kumbuka wale unaodhamiria kuwarushia hizi picha za uongo vjjn hawana sm za kisasa kuona picha zako.Wao wanasubiri kuona matukio live ndo wapate habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…