Njombe vs Tunduma vs Katoro vs Dodoma vs Kahama

Njombe vs Tunduma vs Katoro vs Dodoma vs Kahama

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Hio ni miji inayokuwa kutokana na juhudi tofauti za Wanachi na Serikali.

Lakini tofauti na hii miji kuwa impressive, bado hii miji inatofautiana kwa kasi ya ukuaji na kasi ya mzunguko wa pesa.

So kati ya hio miji, ni upi/ipi yenye kasi kubwa ya pesa na mzunguko wa pesa kwa overall businesses (biashara aina tofauti bila kutegemea biashara/shughuli iliyozoeleka ya mji husika).

Karibuni bila kupendelea ukwako.
View attachment 2130545
 
Hiyo miji mingine siifahamu ila aisee unailinganishaje Njombe na Tunduma kwenye kasi ya mzunguko wa pesa? Walau ungelinganisha na makambako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom