Njiwa mlanya

Njiwa mlanya

mwasamasole

Senior Member
Joined
Oct 25, 2015
Posts
106
Reaction score
119
Ni miaka mingi sasa kijiji chetu kimekua kikisumbuliwa na panya waharibifu walikua kero kwa wanakijiji.

Lakini sasa kijiji chetu kimepata mwenyekiti aliyenunua njiwa mwenye uwezo wa kuwatafuna panya wote waharibifu.

Ombi langu kwa wanakijiji wenzangu ni kumuombea mwenyekiti wetu na njiwa wake waweze kua salama kutokana na wawindaji haramu wa njiwa.
 
Kuomba ndiko tunakoomba, Ila tuzidishe maombi kwa M-Square
 
Panya wanapiga selfie ha haa eti ekotite
 
inamaana hata paka hawaaminiki tena kutafuna panya huko kwenu?angalieni hao njiwa wasijegeuziwa kibao na paka kwa kuingilia mawindo...na huyo mwenyekiti aliwaweka kikao wanakijiji kuomba ushauri?au alijiamulia kumtafuta njiwa kimya kimya?mlihoji haki yenu ya kushirikishwa?au mlikubali kwa sababu tu njiwa ana uwezo wa kutafuna panya?hamuhisi kama ni mazingaombwe?mlishaona njiwa anakamata panya akiwa hai ama anasubiri akiwa mzoga?nawashauri mmuombee mwenyekiti apate uwezo wa kumtafuta PAKASHUME!
 
Ni miaka mingi sasa kijiji chetu kimekua kikisumbuliwa na panya waharibifu walikua kero kwa wanakijiji.

Lakini sasa kijiji chetu kimepata mwenyekiti aliyenunua njiwa mwenye uwezo wa kuwatafuna panya wote waharibifu.

Ombi langu kwa wanakijiji wenzangu ni kumuombea mwenyekiti wetu na njiwa wake waweze kua salama kutokana na wawindaji haramu wa njiwa.

wapi huko
 
Back
Top Bottom