Njiwa hawa wanatafutwa

mwalwisi

Member
Oct 6, 2010
45
22
Jamani kuna rafiki yangu kanitumia email anatafuta njiwa hao kwenye picha, yeyote aliye na taarifa chonde twaomba msaada tuelekeze wanakopatikana
 

Attachments

 • IMG_0152.JPG
  IMG_0152.JPG
  533.2 KB · Views: 71
 • IMG_0153.JPG
  IMG_0153.JPG
  462.7 KB · Views: 71
 • IMG_0146.JPG
  IMG_0146.JPG
  454.2 KB · Views: 54
ni wa dawa, chakula ama urembo (Kufuga tu)?

nenda masokoni, BUguruni, Ilala, Magomeni, Tandika utapata tu
 
Back
Top Bottom