Kina ukubwa wa ekari 1 kasoro mita 15. Kipo karibu na World Vision kilometa 1 mbele. Bei 40mil. 0755033997 0714404057
Na yale majenereta yanoyopiga kelele kama jehanamu yako umbali gani toka kwenye hicho kiwanja?Kina ukubwa wa ekari 1 kasoro mita 15. Kipo karibu na World Vision kilometa 1 mbele. Bei 40mil. 0755033997 0714404057
Mkuu ni kiwanja siyo shamba!Kina hati?ni udongo mweusi au mwekundu?