Njia zinazosaidia ukuaji mifupa kwa watoto

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,195
WATOTO.jpg
VIATAMIN C NA D.jpg


Njia zinazosaidia ukuaji wa mifupa ya watoto

1. Vitamin A, D na C na madini ya kalisi, chuma na fosforasi ni virutubisho muhimu vinavyosaidia ukuaji wa mifupa ya watoto. Maziwa ya ng’ombe, mayai, maharagwe, samaki na nyama vina virutubisho hivyo vingi.
2. Watoto wanatakiwa kufanya mazoezi nje ya nyumba, kuota jua. Mazoezi yanaweza kuhimiza umetaboli, kuharakisha mzunguko wa damu ambao unaweza kupeleka virutubisho vingi zaidi kwenye mifupa ili kusaidia ukuaji wa mifupa.
3. Kuhakikisha watoto wanakaa na kusimama kwa usahihi, na kuhakikisha wanalala kwa muda wa kutosha.
4. Mazoezi ni mazuri kuliko maziwa. Mtoto akitaka kuwa na mifupa imara, kufanya mazoezi ni muhimu kuliko kuongeza kalisi mwilini.
5. Kupanda baiskeli ya mtoto kunasaidia ukuaji wa mifupa ya watoto.
 
Back
Top Bottom