Enzi hizo mwaliwa wa economy alisema asilimia 90 ya kufanikiwa kwenye biashara yoyote ni kuwa na wazo bora. Ukipata wazo la biashara nirahisi kupata mtaji kuliko kuwa na mtaji halafu ndo utafute wazo la biashara
Mfano mzuri ni kampuni ya maxi-malipo. Waliona changamoto ya watu kwenda kununua luku na kulipa bill za maji wakatengeneza utaratibu wa kulipa kupitia mitandao ya simu na kompyuta na wamefanikiwa kupata biashara