Njia ya nchi kujirudi ni chache !

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,669
Reaction score
15,239
1. Serikali ya mpito ambayo haina chama na lengo ni kusimamia katiba
2. Serikali ya mseto lakini hii ni ngumu maana kuna machama ya kichawa mengi
3. Rostam na marafiki zake kumuondoa Samia kwa njia safi au Mbaya
4. Jeshi la Machawa kutoa msimamo wa kutokuuunga serikali mkono na kujiunga na wananchi

Tukibaki kama yulivyo uongozi wa Mama who are you itakuwa ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…