Wana Jf naomba kupatiwa dawa ya kuwashwa katika njia ya mkojo, yaani kuisi kuwashwa njia nzima kwa ndani kuanzia chini kabisa, nadhani kwa wanaume mnaifahamu njia nzima ya mkojo, hii kitu imeanza Jana baada kumaliza kukojoa mpaka sasa. Mwenye Kujua dawa tafadhali.