Njia Rahisi Ya Kutumia Application Za Window Kwa Android

Njia Rahisi Ya Kutumia Application Za Window Kwa Android

Expendabe

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
6
Reaction score
0
hey guys, muda si mrefu tutaweza kutumia application za window .exe kwa android phone .apk , hili limekuwa tatizo kwa watu wengi sana ,unakuta application nzuri kwenye computer yako, unatamani ungekuwa nayo kwenye kiganja android kwa matumizi rahisi, lakini ni vigumu kwa sababu ni majukwaa mawili tofauti kuna programu ipo inatengenezwa na code weavers company kwa maelezo zaidi click here :lock1:
 
Back
Top Bottom