Huo si uhalifu. Camera haitakiwi kufichwa eti hadi askari anapanda kwenye mti. Mbona ulaya kila kwenye camera kuna alama inayo onyesha? Au na wao ni wahalifu?Acha uhalifu
Inakamata ndani ya mita 100 bhanaKamera na rada za polisi za kudhibiti mwendo zinakamata umbali hadi wa mita 1,000.
Kwa hiyo app yako utakuwa ushaingia kwenye anga zao.
Jiandae na faini tu.
Na ukipita mahali ambako hakuna mawasiliano ya internet inakula kwako big time.
Mimi ni dereva na ninasafiri sana mikoani. Hii app imenisaidia sana. Hasa ukiwa na laini ya Hallotel. Mtu asikudanganye IKO POWA sana. Nimeinunua tayari kwa mwaka mzima. Nadhani mnaowakatisha watu tamaa wataluwa ni matrafiki uchwara tu.Unajidanganya sana. Hiyo app haifanyi kazi in real time, inachofanya ni kukuonyesha 50 nyingi zilipo na tochi zilizorepotiwa kuwepo wakati wana mark uwepo wa tochi, sasa we jidanganye unyooshe goti afu uone unavochangia pato la Taifa kwa njia ngumu.
Kwanini unafundisha watu wavunje sheria?...Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.
Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play
Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android
Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.
Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.
Asante na niwatakie safari njema.
Apa ni mguu kati tu.Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.
Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play
Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android
Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.
Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.
Asante na niwatakie safari njema.
Shida hao traffic wanajificha kwann waziwe open area , sasa nawe uoni nao kuwa wanapenda watu wavunje sheria ?Kwanini unafundisha watu wavunje sheria?...
Ni kweli hata wanafanya kosa kubwa sana kujificha ili mtu avunje sheria wamuadhibu. Lakini bado kuvunja sheria eti kwa sababu mwingine naye kavunja sheria si sawa...Shida hao traffic wanajificha kwann waziwe open area , sasa nawe uoni nao kuwa wanapenda watu wavunje sheria ?
hebu tupe link mpendwa maanaMimi ni dereva na ninasafiri sana mikoani. Hii app imenisaidia sana. Hasa ukiwa na laini ya Hallotel. Mtu asikudanganye IKO POWA sana. Nimeinunua tayari kwa mwaka mzima. Nadhani mnaowakatisha watu tamaa wataluwa ni matrafiki uchwara tu.