Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
naogopa kuchukuwa maamzi yatakayo kuwa na mwisho mbaya!Na kwanini anasita?
Mungu wangu kwanza!Bila kujali yepi ni sahihi, kipi moyo wako kinakutuma ufanye? Sauti yenye nguvu ni ipi kati ya unazozisikia?
Mungu wangu kwanza!
naogopa kuchukuwa maamzi yatakayo kuwa na mwisho mbaya!
naogopa kuchukuwa maamzi yatakayo kuwa na mwisho mbaya!
Yule wa wote!Na Mungu wako ni yupi?
Mafundisho yake yanasemaje?
Anapatikana humu MMU?
Tuambie kwanza hayo maamuzi unayotaka kuyachukua lakini unaogopa ili tukushauri kama yanafaa au jinsi ya kuneutrolize yasiwe na mwisho mbaya.
Kuacha wote!!!!!!! unaonaje hiyo maana wengi wameshauri hivyo?
Yule wa wote!
Nisiabudu miungu wengine ila yeye tu
Nishike kitakatifu siku ya kumwabudu
Nimheshimu baba na mama
nisiuwe
nisiibe
usizini,
nisiseme uongo
nisitamani mke asiye wangu kama wewe hivi
nisitamani mali ya mtu mwingine kama hilo gari lako
...................................
Zote mimi nimetimiza ila sasa hao wanao nifuata ndugu yangu?
ANAPATIKANA KILA MAHALI!!!
Sasa kwa mtazamo wako hapo unaona ninaye!!!! hayo si majanga, ehm nishauri nichanganye na zangu!!!!
Basi ndo ungangane na huyo binti hao wengine wapoteze tu!Kifupi binti ni black beauty na binamu ni white but so cute mama ni maji ya kunde kabeba zigo hilo nyuma! so wote wanavutia sana kumtamanisha kila mwanaume naona binti yake ananifaa zaidi! ni mrembo sana mwenye rangi ya asili nywele ndefu na za asili karibia kila kitu kwake ni cha asili nampenda yeye!
Mahusiano yata vunjika na wanaweza nichukia na life ni kutegemeana!Sasa kuacha wote, kutakuleteaje shida baadaye?
Au unaona kuna ugumu gani kwa kutoacha wote?