Njia Panda Himo Waonja Gharika la Lowassa

Njia Panda Himo Waonja Gharika la Lowassa

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Mji mdogo wa Himo ulisimama kwa muda kumpisha Lowassa. Jamani nimeshachoka kuripoti nyomi la Lowassa yaan numeshalizoea imekuwa ni hali ya kawaia kwetu
 
Attachments

  • 1443368085948.jpg
    1443368085948.jpg
    36.2 KB · Views: 2,437
Dalili za mvua hizo hakuna nguvu za wasanii hapo....
Nchi ya lowassa mapema trh 25/10
 
Mji mdogo wa Himo ulisimama kwa muda kumpisha Lowassa. Jamani nimeshachoka kuripoti nyomi la Lowassa yaan numeshalizoea imekuwa ni hali ya kawaia kwetu

Haliyake kiafya anaendeleaje?
 
Lowasa simamia huduma za afya nchi hii.ccm wanaziua
 
Back
Top Bottom