Njia nzuri ya kutimiza Malengo , unapoweka malengo yako usiyawekee deadline

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.

Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .

Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.

Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .

Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .

Ili kuondoa stress , amabazo sio za lazima , usiweke deadline kwakuwa ukiweka deadline kuwa this year nataka kupata Ndoa , Kazi , kufungua biashara mpya , kuongeza Elimu n.k

Endapo ikitokea haujatimiza hayo malengo utaanza kujiona umefeli Sana . na stress zitakupata .

So kwakuwa miaka IPO mingi endelea Ku-grind jambo ambalo haujalipata mwaka huu waweza kulipata mwakani na kuendelea.

Na ikitokea malengo yamekuwa unachievable wapatie hata watoto wako , ndugu n.k sio kila kitu unachoamini utakifanikisha lazima wewe ndo ukifanye.

Mfano kuna Mwanasiasa maarufu Sana Tz Ila alimaliza form four na miaka 35 ila Leo hii ni moja ya wanasiasa Nguli na wanaoheshimika .

Means angekata tamaa na angetazama umri wake he couldn't make it.endelea kupambana Ila usiweke deadline KTK malengo yako.
IMG-20250818-WA0012.jpg
 
Nadhani uko sahihi na pia ni vyema kutambua keamba kuna mipango inayotaka deadline na mipango smbayo haitaki deadline.

Kuna vitu ambavyo watu tifauti ndio wana influence wewe kufanikiwa,katika mambo kama haya kuweka malengo ni kujiumiza kwa sababu sio kila mtu atafanya kwa spidi unayoitaka.

Ila kuna mipango ambayo unaweza kuiwekea malengo na kutokuiwekea malengo inaweza kuwa ni sababu ya kutokuifanikisha.
 
Hakika-Japo mipango inaweza kutofautiana malengo.

Ndani ya mipango kunaweza kuwa na malengo Ila ndani ya malengo kukawa hakuna mipango .

Kifalsafa Mipango ndo KEY ya maisha Ila malengo sio KEY.

Mfano nikioa huu utaitwa Mpango Ila nikipata watoto hayo ni malengo.

Mpango unaweza kuufanikisha Ila malengo unaweza usiyafanikishe .

Hivyo hata nikipanga kuoa ninabidi niwe tayari kwa ndoa tu Ila ndani ya ndoa tukiishi naweza kuweka malengo nipate watoto wangap na ikitokea sijapata mtoto sitovunja ndoa Ila nitsubiri na nisipopata itabidi niasili mtoto , au niwalee watoto wa ndugu zangu hivyo nitakuwa nimetimiza malengo kupitia watu wengine .
 
Malengo yanahitaji MTU zaidi ya mmoja ili yafanikiwe Ila Mpango unaweza ukautimiza wewe mwenyewe .

Mipango ipo Certainty zaidi Ila malengo yapo uncertainty zaidi .

Japo kimantiki na kimaana kuna mfanano fulani
 
Faida zipo hasara zipo, ukiweka deadline unakimbizana kukamilisha, unakua na ari ya kutimiza.....bila deadline unakua upo upo tu "nitafanya" "nitaenda" "nitaweka akiba"

COMMITMENT ✌️
Unachoweza kukikimbiza na kukikamalisha ni kile kipo under ur own control na sio vinginevyo.

Ndo maana tukasema malengo ni uncertainty Ila mipango ndo certenity.
 
Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.

Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .

Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.

Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .

Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .

Ili kuondoa stress , amabazo sio za lazima , usiweke deadline kwakuwa ukiweka deadline kuwa this year nataka kupata Ndoa , Kazi , kufungua biashara mpya , kuongeza Elimu n.k

Endapo ikitokea haujatimiza hayo malengo utaanza kujiona umefeli Sana . na stress zitakupata .

So kwakuwa miaka IPO mingi endelea Ku-grind jambo ambalo haujalipata mwaka huu waweza kulipata mwakani na kuendelea.

Na ikitokea malengo yamekuwa unachievable wapatie hata watoto wako , ndugu n.k sio kila kitu unachoamini utakifanikisha lazima wewe ndo ukifanye.

Mfano kuna Mwanasiasa maarufu Sana Tz Ila alimaliza form four na miaka 35 ila Leo hii ni moja ya wanasiasa Nguli na wanaoheshimika .

Means angekata tamaa na angetazama umri wake he couldn't make it.endelea kupambana Ila usiweke deadline KTK malengo yako.View attachment 3445331
Bonge la uzi mkuu,barikiwa sana!!
 
Malengo yanatakiwa yawe na mambo yafuatayo

1. Yawe yanafikika kwa mujibu wa uwezo wako
2. Yawe challenging kwa mujibu wa uwezo wako
3. Lazima yawe na TIME FRAME
 
Anataka kujibana Kijana wetu
Ila Malengo ni lazima yawe na deadline pia lazima ujipe goals uziweke kwenye makundi mawili moja short term goal na long term goal.

Katika kitu Mimi niliweza/ ningeweza na kitu ambacho kingenipa maisha kiulaini mbali na elimu basi ni mpira wa miguu kwa Sasa age langu limetembea sana 36+ unazani nikisema nipambanie ndoto haiwezekani tena maana wakati ni ukuta...
 
Hakika Ila unaweza kutimiza malengo ya kuwa best footballer kwa next generation mwanao n.k

Ila Malengo ni lazima yawe na deadline pia lazima ujipe goals uziweke kwenye makundi mawili moja short term goal na long term goal.

Katika kitu Mimi niliweza/ ningeweza na kitu ambacho kingenipa maisha kiulaini mbali na elimu basi ni mpira wa miguu kwa Sasa age langu limetembea sana 36+ unazani nikisema nipambanie ndoto haiwezekani tena maana wakati ni ukuta...
 
Hapo sawa nakubaliana na wewe hivyo Malengo lazima yawe na time frame.
Time frame .

Ila kitu ambacho kipo out of ur control kinaweza kuwa achievable or unachievable kukiwekea deadline ni sawa na kujenga Nyumba ya kuishi yenye one door ikitokea dharula utakosa kujiokoa.

Kwahiyo sio kila malengo uyatimize waweza kuyatimiza kupitia next generation, like kids , n.k
 
Masaa matatu yaliyopita nilijiwekea malengo sitakunywa pombe tena ila now nahisi kiu 🤔🤔🤔

Dah ni kweli bora mtu usiweke deadline kabisa.
Nilikuambia nioe ili badala ya kushindia pombe basi hiyo moja iwe inabaki humohumo ndani....ukasema kuoa singlemom ni bora wakuue.Ona sasa nimeolewa na mhuni mwenzangu kilasiku ananukia pafyumu mpya
 
Back
Top Bottom