Wanawake bahana ni wagumu sana kuelewa.. .. Kudate na wanawake wengi ni njia pekee ambayo kwa sasa inaweza kutumika kuwapoteza maadui na kuzuia kushambuliwa na maadui zangu. kwa ivo nawalinda ili wasisumbuliwe na kubaki salama salmin bila kuguswa .. Hasa kwa kipindi kigumu kama hiki cha anko[emoji4] [emoji4]
Lakini kwa bahati mbaya wanawake wengi hawawezi kuelewa hii njia mpya ya kuwalinda[emoji3] [emoji3] [emoji3] .
wisdom will kill me one day[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Sent using
Jamii Forums mobile app