Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,470
Yaan mimi naoa halafu mtu anataka kuja kunimegea mke wangu hakiyanan nang'oa meno m2 bila ganzi
sijaelewa ....
SISE CHICKS AE THE ONES BAILING, LIVING LARGER THAN LIFE CONSIDER IT COMPANSATION FOR ETERNAL FIRE!Kuwa side chick yataka moyoo jmn,habari za mtu kukutafuta akiwa na shida zake tu mbona ni kazii
SISE CHICKS AE THE ONES BAILING, LIVING LARGER THAN LIFE CONSIDER IT COMPANSATION FOR ETERNAL FIRE!
Wake za watu wanataka moyo jamani, jana kuna shosti na mume wake wamehamia nyumba yao last week, kanialika manake ni kuningangania niende wanaibariki jana, nikasema kajenga ghorofa nii huko ununio.? Ngoja niende! Looooh! Mke mwema sanaa sjosti yangu, nyumba haina sakafu, umeme, maji wala singbodi!!! Looooh! Mchepuko utauweka bandani hivo thubutuuuuuuuu! Nikampongeza kwa mengi!
Mchepuko unakula hoteli, unala $150 rooms, unashop, unakula bata 24/7. MANAKE POLICY INAJULIKANA KABISAAA HUNA HELA NENDA KWA MKEO WA KUFA NA KUZIKANA HUKU PESA MBELE KAMA TAI!
Tatizo michepuo yote itaenda motoni! Hapa ndo panapotisha!
Naomba nikuonje.kizuri kula na mwenzio acha uchoyo
Naomba nikuonje.
Unipe paja au vidole vya nini wakati sehemu pendwa ipo?unataka paja au vidole?
Unipe paja au vidole vya nini wakati sehemu pendwa ipo?
Anyway nimekubali, njoo nionje malkia wangu...swala si kuonja..popote panafaa kuonjwa..
njoo chamber nikueleweshe binamu