njia ipi nzuri ku-charge simu na laptop

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
ipi ni njia sahihi ya ku-charge simu? yaani inatakiwa u-charge ukiwa umeizima au umeiwasha?
na kwenye laptop ni wakati gani inatakiwa kuwa kwenye moto? ni mpaka iishe kabisa au muda wote?
 
ni makosa makubwa kucharge laptop kama simu, kwa maana kuizima na kuiweka kwenye umeme. simu its recommended,

laps ni kama komputer ingine \(desktop ikiwa kwenye UPS, TUMIA laptop ikiwa kwenye umeme, ikiwa imefikia moto na

moto ni wakutosha si lazima asilimia 100 unplug tumia bila kuwa kwenye umeme. ama ikiwa imefika mia, na unadhani

bado unahitaji kutumia au kufanya kazi zako, fanya mambo mawili

unplug kabisa tumia ukiwa unpluged. ama chomoa betry yako, tumia moja kwa moja(ingawa hii ya moja kwa moja umeme ukikatika ni mbaya)
 
Kwa njia hii betri yako ya lap haitachukua round
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom