Njia ipi nitumie "kumnasa" huyu mtoto wa kibosile? Nimtie mimba au "nimteke"?

Kama demu hakupemdi hata hiyo mimba yenyewe haitongia, na kama anakupenda kweli (ambapo sidhani kama ni kweli vinginevyo wala usingekuja hapa kuomba ushauri) angekuwa na wewe, hivyo acha kujidanganya!
Hata mm nimeliwaza hili. Yawezekana demu ndiyo chanzo cha danadana hii
 
unapenda vitonga dogo acha umarioo huoo
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari kuishi naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
 
Back
Top Bottom