Njemba zinapotwangana kwa penzi la baamedi!

Apology accepted. Lakini kuna ubaya wowote wa kumtamani baameid. Hujakaona hako ninakozungumzia, acha walume watwangane bana. Kana mvuto balaa.
..Crispin..tuache utani kuna vibaa medi viko bomba unajikuta mwanaume unashangaa kwa nini kaliamua kufanya hiyo kazi...Kuna wakati mi nilikaribia kunasa kwa bar medi mmoja Rose Garden kalikuwa matata sana huwezi kuamini nilikuwa napata wivu siku ambayo siko naye najua kuna kidume kinafanya makamuzi huko..She was real hot!! Kwa hiyo acha njemba zichapane makonde ndio ukweli wenyewe huo!!
 
interesting but not convincing

am not convincing you or anyone but the fact is that not very barmaid is prostitute. Ku generalize ni makosa. As mtu aseme kuwa wanaume wote wana vimada utakubalina na hilo?
 
Hapo sasa unajua nini mkubwa hako kamburu c kana kwamba ni kazuri ila itakuwa pia ni katamu kuliko wake wa hizo njemba na vilevile hata wewe pia ungemega angempita mkeo
na ww mbulu nn? mbona unaelezea utamu wao kama vile masai anavyoelezea utamu wa nyama na damu?
 
..Crispin..tuache utani kuna vibaa medi viko bomba unajikuta mwanaume unashangaa kwa nini kaliamua kufanya hiyo kazi...Kuna wakati mi nilikaribia kunasa kwa bar medi mmoja Rose Garden kalikuwa matata sana huwezi kuamini nilikuwa napata wivu siku ambayo siko naye najua kuna kidume kinafanya makamuzi huko..She was real hot!! Kwa hiyo acha njemba zichapane makonde ndio ukweli wenyewe huo!!

si nilisema jamani, au sikusema??, hahahaaaaaa hahaaaa pale ni noma asee hasa kipindi kile!.

Chris, kuna mgahawa mmoja uko magomeni pale Sea Boys, unaupata?, kuna mapambo mengimengi hivi ya pepsi, sasa pale ni nomaaaaaa, kuna tutoto tuzuri hutooo aaaaah, jamani mi huwanajiuliza hutututoto kwanini tunafanya hii kazi?, nenda kajionee mwenyewe pale magomeni mapipa, nasikia tutoto twa Tanga, jama Tanga si mchezo!.
 
Pale kiboko, wakati fulani kulikuwa kuna shoga anauza pale washikaji kila siku walikuwa wananionyesha lakini nashindwa kumgundua kwa jinsi anavyoonekana msichana ila siku moja aliongea nikashangaa msauti wa kiume kucheki kifua nikaona matiti ya kujenga.
 
nasikia tutoto twa Tanga, jama Tanga si mchezo!.
Wacheni kabisa Tanga ni soo jamani, kuna vitu vya kutisha ukienda Tanga wala husiangalie sura utakwenda kushuhudia mwenye mambo kwenye uwanja wa Kaitaba bcoz you may experience the difference.
 
Kutandikana kwa sababu ya penzi la baameidi imenishangaza sana. Na kumgharamia baameidi kiasi kile wakati wale ni watu wa kumegwa na kila mtu atakaye ndilo limenishangaza zaidi.
Usishangae sana mkuu haya yapo sana
Unajua sababu nini? Hawa mabaamedi wana vitu adimu sana kaka uwanja wa Kaitaba kuliko wake zetu au mademu zetu ambao wame-relax. Wee acha kabisa haya mambo hayana kushangaa bosi ni ya kawaida sana ila ya kuepuka pale inapobidi
 
Wacheni kabisa Tanga ni soo jamani, kuna vitu vya kutisha ukienda Tanga wala husiangalie sura utakwenda kushuhudia mwenye mambo kwenye uwanja wa Kaitaba bcoz you may experience the difference.

hhaaaaa, Tanga jama noma, sasa ukifika kwa mama ntilie tu unakuta mhudumu kiwango, je ukifika viwanja je??
tutoto tuzuri twa Tanga tunapatikana zile sehemu za kawaida kawaida kama hizo kwa mamalishe, migahawa pale stendi na kwenye vihoteli mshenzi karibu na lile soko nyumba ya kituo cha mabasi, unapata kitu swafi kabisa hatujatumika wala kukobolewa.
 
Sure! hapo bold/red umeweka mambo bayana... hatuitaji uje na VOGUE... agiza wali nyama kaachie mia mbili na namba ya selula then tayari bado...!
 
hhaaaaa, Tanga jama noma,
tutoto tuzuri twa Tanga unapata kitu swafi kabisa hatujatumika wala kukobolewa.
Kwa jinsi game linavyopigwa wala hutataka kujua kama tumetumika au kukobolewa kwani kuna mzungusho wa kufa mtu na sauti ya kugugumia. Kuna jamaa yangu alipata kifaa cha Tanga hadi aliteguka kile kiungo muhimu. Kwa kifupi watoto wa Tanga ndio SI Unit ya mapenzi
 
Sure! hapo bold/red umeweka mambo bayana... hatuitaji uje na VOGUE... agiza wali nyama kaachie mia mbili na namba ya selula then tayari bado...!

aaaah sana mkuu!!,
unapata kitu natural bila zengwe at low costs.
tena katakupigia kenyewe 'uko wapi nije, mi karibia kutoka kazini', mzee taratibu unajimiminia ka-valuu kako unajua uhakika utarekebisha mambo soon. hawana makuu kabisa.
 
Ikija kwenye suala la kuchojoa nguo na kupima mashimo, wanaume akili zao husimama, hahawajali kama ni kwa bar maid, changudoa, taahira ili mradi tu wameko***
 
si nilisema jamani, au sikusema??, hahahaaaaaa hahaaaa pale ni noma asee hasa kipindi kile!.

Chris, kuna mgahawa mmoja uko magomeni pale Sea Boys, unaupata?, kuna mapambo mengimengi hivi ya pepsi, sasa pale ni nomaaaaaa, kuna tutoto tuzuri hutooo aaaaah, jamani mi huwanajiuliza hutututoto kwanini tunafanya hii kazi?, nenda kajionee mwenyewe pale magomeni mapipa, nasikia tutoto twa Tanga, jama Tanga si mchezo!.

mafataki utawajua tu, jamani acheni kuharibu hiki kizazi.
Halafu eti hawa ni watu wameoa na wana wake na watoto nyumbani,. inatia hasira kabisa.
Unaweza kukuta hao watoto wanalingana na watoto wenu nyumbani, hebu jiheshimuni jamani, mnatia aibu.
 
Usishangae sana mkuu haya yapo sana
Unajua sababu nini? Hawa mabaamedi wana vitu adimu sana kaka uwanja wa Kaitaba kuliko wake zetu au mademu zetu ambao wame-relax. Wee acha kabisa haya mambo hayana kushangaa bosi ni ya kawaida sana ila ya kuepuka pale inapobidi

sasa kwa nini wasiwe tofauti na wakati wanakutana na wanaume wa aina zote, size tofauti, fashion topfauti kila siku, kila mtu akija anakuja na style zake na mahitaji yake, kwa nini wasiwe professionals? usipojifunza kuridhika na ulicho nacho utaishia pabaya. Halafu this is bothways, wanaume wangapi wanaowajali wake zao kwenye majamboz? wengi wenu mnachojua ni kujifikiria nyie tu lakini mbona wake zenu hawajaenda kusaka wajuzi au professional serengeti boys?
 
Wadau tatizo watu wanawafanya wanawake wa nje vitu ambavyo mkewe hawezi kumfanya hata siku moja. Hayo mambo ya utamu yanakuaja hapo.

Ingekuwa watu wako huru kuwafanyia wake zao yale wanayoyafanya huko nje,nawaambi haya mambo ya kutoka nje yangeisha.

Wanaume wengi sasa ni mabaradhuli kabisa, kama hawawezi kuwa waastaarabu hadi ifikie hapo kazi ipo. Lakini pia kama wanayopenda kufanyiwa na hao mabarmaid ni kupewa tigo, no thanks, waende hukohuko lakini cha msingi wawe wanatoa taarifa kwa wife kwamba nap[ata tigo toka kwa barmaid au whoever else ili wifi achukue ustaarabu wake mapemaaa kabla mambo hayajawa mambo.
 
si nilisema jamani, au sikusema??, hahahaaaaaa hahaaaa pale ni noma asee hasa kipindi kile!.

Chris, kuna mgahawa mmoja uko magomeni pale Sea Boys, unaupata?, kuna mapambo mengimengi hivi ya pepsi, sasa pale ni nomaaaaaa, kuna tutoto tuzuri hutooo aaaaah, jamani mi huwanajiuliza hutututoto kwanini tunafanya hii kazi?, nenda kajionee mwenyewe pale magomeni mapipa, nasikia tutoto twa Tanga, jama Tanga si mchezo!.

Mkuu, leo nikitoka kibaruani breki ya kwanza Magomeni Mapipa. Kwa jinsi ulivyonielekeza, sitakuwa na haja ya kuuliza mtu. Mkuu, nimekukubali, ntakusajili kwenye chama langu. Ahsante kwa upendo wako, kizuri kula na nduguyo.
 
..Crispin..tuache utani kuna vibaa medi viko bomba unajikuta mwanaume unashangaa kwa nini kaliamua kufanya hiyo kazi...Kuna wakati mi nilikaribia kunasa kwa bar medi mmoja Rose Garden kalikuwa matata sana huwezi kuamini nilikuwa napata wivu siku ambayo siko naye najua kuna kidume kinafanya makamuzi huko..She was real hot!! Kwa hiyo acha njemba zichapane makonde ndio ukweli wenyewe huo!!

Hahahaha! Mkuu inaelekea na wewe mwanachama. Angalia isije ikawa mmeshea na George_Porjie. Amekisifia sana hicho kiota. Mkuu ukitia wivu kwa baameid ndio yanazuka yaleyale ya njemba zilizotwangana. Cha msingi ni kugawana kwa awamu. lol!
 
Pale kiboko, wakati fulani kulikuwa kuna shoga anauza pale washikaji kila siku walikuwa wananionyesha lakini nashindwa kumgundua kwa jinsi anavyoonekana msichana ila siku moja aliongea nikashangaa msauti wa kiume kucheki kifua nikaona matiti ya kujenga.

Mkuu una mpango wa kuunguza mpaka tigo za walume? Hahahaha!
 
Back
Top Bottom