Njemba zinapotwangana kwa penzi la baamedi!

Hii kwangu ilikaa vibaya. Mwanzoni nilidhani masihara mpaka niliposhuhudia makonde na chupa zikirushwa. Kisa? bar maid.

Ni kwamba kuna ka baameid kamoja ka kimbulu kameleta zahma kwenye bar moja mitaa ya kwetu (lazima nikiri ni kazuri, kwakuwa hata mzee mzima nilikuwa napanga kukasarandia). Njemba moja kumbe ndio inakaweka mjini; imekapangia chumba na inakapa fedha za matumizi. Kumbe swahiba wake njemba ambaye anajua uhusiano ule akawa anakaiba kisirisiri. Siri ikafichuka jana, baada ya mabaameidi wenye wivu kumtonya mwenye mali.

Njemba yenye mali, ikapandisha na kushusha presha. Ikamsubiri swahiba wake anayemwibia. Kama masihara vile, njemba mwizi ilipotinga kaunta na kuagiza ka valeur kake ikashangaa inakwidwa kwa nyuma. Wadau kwakuwa tunaujua uswahiba wao, tukadhani masihara mpaka ulipoibuka mtiti wa kufa mtu.

Kibaya zaidi hizi njemba zote zimeoa,
na zinaishi maeneo ya jirani. Nadhani mpaka mida hii, habari zitakuwa zimefika kwa wake zao. (Labda na kwa wife wangu pia, huwezi jua. Nasubiria nipigiwe simu kuulizwa kulikoni kwakuwa njemba zenyewe ni washkaji zangu pia.)

Kutandikana kwa sababu ya penzi la baameidi imenishangaza sana. Na kumgharamia baameidi kiasi kile wakati wale ni watu wa kumegwa na kila mtu atakaye ndilo limenishangaza zaidi.
Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari.

Wasalaam.

umeshakiri ni kazuri na mwenyewe ulikuwa unakasarandia...kwani na wewe c mume wa m2...wale walee tu huna tofauti....mnawatongoza wenyewe mkijua ni baamedi na mnajua wanao wanaume wengi sasa kinachokushangaza hapo ni nini na yote hayo mnayajua? si mnajitakia wenyewe?....halafu penzi ni penzi mnachotakiwa ni kujiheshimu tu nyie wanaume...hakuna cha baamedi, house gal wala cjui kitu gani huko c ndio mnafata hayo mapenzi ya shap shap?....hujabakia lolote kuleta habari wewe mwenyewe wale wale tuu.
 
Lol! Mkuu nakushauri uje ukaone. Ni kazuri kinoma. Ila kwamba ni katamu kuliko my wife wangu, hapo unashauriwa umtake radhi mke wangu kabla hujanitaka mimi radhi. You are crazy man/woman.

kanapatikana bar ipi hiyo?? weekend kesho nitie timu.
 
chrispin kweli weye unajidhihirishan hujatulia

wanaume kwa nini mnafanya hivi mnatia aibu mmeoa ??? mnaacha wake zenu majumbani mnaenda kugombea baamed ,aibu baamedi anawafanya mpoteze heshima yenu
aibu sana ..ukitoka hapo ukakuta mkeo amekosea kidogo ugomvi unashindwa kumsamehe
aaah nasikia hasira

jana uliwatetetea kwa kiac fulani leo ndio unawaona hawa watu walivyo vituko....hawabebeki hawa jamani.
 
Hii kwangu ilikaa vibaya. Mwanzoni nilidhani masihara mpaka niliposhuhudia makonde na chupa zikirushwa. Kisa? bar maid.

Ni kwamba kuna ka baameid kamoja ka kimbulu kameleta zahma kwenye bar moja mitaa ya kwetu (lazima nikiri ni kazuri, kwakuwa hata mzee mzima nilikuwa napanga kukasarandia). Njemba moja kumbe ndio inakaweka mjini; imekapangia chumba na inakapa fedha za matumizi. Kumbe swahiba wake njemba ambaye anajua uhusiano ule akawa anakaiba kisirisiri. Siri ikafichuka jana, baada ya mabaameidi wenye wivu kumtonya mwenye mali.

Njemba yenye mali, ikapandisha na kushusha presha. Ikamsubiri swahiba wake anayemwibia. Kama masihara vile, njemba mwizi ilipotinga kaunta na kuagiza ka valeur kake ikashangaa inakwidwa kwa nyuma. Wadau kwakuwa tunaujua uswahiba wao, tukadhani masihara mpaka ulipoibuka mtiti wa kufa mtu.

Kibaya zaidi hizi njemba zote zimeoa, na zinaishi maeneo ya jirani. Nadhani mpaka mida hii, habari zitakuwa zimefika kwa wake zao. (Labda na kwa wife wangu pia, huwezi jua. Nasubiria nipigiwe simu kuulizwa kulikoni kwakuwa njemba zenyewe ni washkaji zangu pia.)

Kutandikana kwa sababu ya penzi la baameidi imenishangaza sana. Na kumgharamia baameidi kiasi kile wakati wale ni watu wa kumegwa na kila mtu atakaye ndilo limenishangaza zaidi. Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari.

Wasalaam.

Duh Mzee achana na ma bar maid bora hata ukasarandie mabinti wa mavyuoni wanaustaarabu kidogo! Kwanza me nikimuona bar maid alivyojichubuwa nasikiaga kinyaa sasa kulala nae si ntatapika kabisa pwaaaaa..............
 
Wadau tatizo watu wanawafanya wanawake wa nje vitu ambavyo mkewe hawezi kumfanya hata siku moja. Hayo mambo ya utamu yanakuaja hapo.

Ingekuwa watu wako huru kuwafanyia wake zao yale wanayoyafanya huko nje,nawaambi haya mambo ya kutoka nje yangeisha.

Ni kweli mkuu. Tatizo ukitaka kuleta kaufundi fulani ulikokadaka huko nje, unaulizwa 'hili umelijulia wapi, kama si umalaya'. Mkuu, wa nyumbani ni heshima mbele. Baba na mama stlye na kulea watoto. Mambo ya burdani, nje kuna ufanisi flani. Najua kina FL1, Nyamayao, Carmel na MJ1 watabisha hili.
 
Mponjoli nakubaliana na wewe.
 
Duh Mzee achana na ma bar maid bora hata ukasarandie mabinti wa mavyuoni wanaustaarabu kidogo! Kwanza me nikimuona bar maid alivyojichubuwa nasikiaga kinyaa sasa kulala nae si ntatapika kabisa pwaaaaa..............

Nielekeze chuo gani mkuu. Wale ndio kabisaaaaa hamna kitu. Kina Liyumba walishawahi huko. Halafu kule lazima wallet itulie. Baamed buku kumi unamaliza mchezo.
 
....................... Mh hii sifa hata si haki kuwapa wao mbona kuna wanawake na ndoa zao wanaomegwa ovyohovyo na si mabarmaid?....... watake radhi tafadhali!

sema na wewe dada....anadhani wote wapo kwa ajili hiyo tu?...halafu umepotea sana mrembo nini shida?
 
Hii kwangu ilikaa vibaya. Mwanzoni nilidhani masihara mpaka niliposhuhudia makonde na chupa zikirushwa. Kisa? bar maid.

Ni kwamba kuna ka baameid kamoja ka kimbulu kameleta zahma kwenye bar moja mitaa ya kwetu (lazima nikiri ni kazuri, kwakuwa hata mzee mzima nilikuwa napanga kukasarandia). Njemba moja kumbe ndio inakaweka mjini; imekapangia chumba na inakapa fedha za matumizi. Kumbe swahiba wake njemba ambaye anajua uhusiano ule akawa anakaiba kisirisiri. Siri ikafichuka jana, baada ya mabaameidi wenye wivu kumtonya mwenye mali.

Njemba yenye mali, ikapandisha na kushusha presha. Ikamsubiri swahiba wake anayemwibia. Kama masihara vile, njemba mwizi ilipotinga kaunta na kuagiza ka valeur kake ikashangaa inakwidwa kwa nyuma. Wadau kwakuwa tunaujua uswahiba wao, tukadhani masihara mpaka ulipoibuka mtiti wa kufa mtu.

Kibaya zaidi hizi njemba zote zimeoa, na zinaishi maeneo ya jirani. Nadhani mpaka mida hii, habari zitakuwa zimefika kwa wake zao. (Labda na kwa wife wangu pia, huwezi jua. Nasubiria nipigiwe simu kuulizwa kulikoni kwakuwa njemba zenyewe ni washkaji zangu pia.)

Kutandikana kwa sababu ya penzi la baameidi imenishangaza sana. Na kumgharamia baameidi kiasi kile wakati wale ni watu wa kumegwa na kila mtu atakaye ndilo limenishangaza zaidi. Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari.

Wasalaam.

Nashukuru kama na wewe ulikuwa na mpango wa kukasarandia! Usingestukia kama kuna njemba inakaweka mjini nafikiri nawe ungeingia kingi na si ajabu ungenogewa utamu na hata kupigana zaidi ya hizo njemba unazosema. Na ninahisi ni wivu zaidi unakusumbua!

Na hili suala la kula baamedi ama housegirl, kwani wao si binadamu? maana inakuwaga topic kama vile mtu katembea na mbwa! Mi naona bora ya baamedi kuliko aliye na mke anamwambia anafanya kazi saloon kumbe anawamassage wazee na kugawa uroda zaidi ya mara moja kwa siku. Atleast hata baamedi anakuwa busy samtym.
 
Mkuu umeanzisha ugomvi. Subiri uone.
 
Nielekeze chuo gani mkuu. Wale ndio kabisaaaaa hamna kitu. Kina Liyumba walishawahi huko. Halafu kule lazima wallet itulie. Baamed buku kumi unamaliza mchezo.

uko sahihi mkuu,
ila nashangaa unanibania binamu, we si umeoa bana?, tuachie mabachela tufaudu.
anayesema barmaid mbaya huyo anamatatizo, tena ni unyanyasaji wa kijinsia coz nao ni wanawake kama maofisa wa makazini kwenu huko Alaa.
 
umeshakiri ni kazuri na mwenyewe ulikuwa unakasarandia...kwani na wewe c mume wa m2...wale walee tu huna tofauti....mnawatongoza wenyewe mkijua ni baamedi na mnajua wanao wanaume wengi sasa kinachokushangaza hapo ni nini na yote hayo mnayajua? si mnajitakia wenyewe?....halafu penzi ni penzi mnachotakiwa ni kujiheshimu tu nyie wanaume...hakuna cha baamedi, house gal wala cjui kitu gani huko c ndio mnafata hayo mapenzi ya shap shap?....hujabakia lolote kuleta habari wewe mwenyewe wale wale tuu.

Lol! Nimeingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa!
 
Ni kweli mkuu. Tatizo ukitaka kuleta kaufundi fulani ulikokadaka huko nje, unaulizwa 'hili umelijulia wapi, kama si umalaya'. Mkuu, wa nyumbani ni heshima mbele. Baba na mama stlye na kulea watoto. Mambo ya burdani, nje kuna ufanisi flani. Najua kina FL1, Nyamayao, Carmel na MJ1 watabisha hili.

tena mie ntabisha sana tuu, heshima muhimu nyumbani lakini sio kitandani! umenipata? mie hata niletewe style gani culizi umeipatia wapi wala kimepanda kimeshuka, na yeye vile vile.....ni moja tu hiyo mnayoizungumziaga ndio nyumbani kwangu marufuku milele.....
 
Back
Top Bottom