Njama za kutohamia Dodoma!

Njama za kutohamia Dodoma!

CosaNostra

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
382
Reaction score
139
Wakuu,
katika udadisi wangu mdogo nimegundua kuwa pamoja na watumishi wengi wa Serikali kutotaka kuhamia Dodoma, lakini wapo Viongozi wao wanaofikia hatua za kutunga/kuunda vikwazo na kujenga hoja kuwa kutokana na u-special wao, waendelee kukakaa Dar.
Naamini tunajua baadhi ya taasisi hizi na sababu zao za kuji-pretend kuwa special. Kwa taarifa zangu, sababu zinazotumiwa sana ni pamoja na kuwa:
1. Hawawezi kuhamisha miundombinu haraka au Dodoma haina uwezo kuweka miundombinu yao ,
2. Fedha za kuweka miundombinu hiyo e.g. stores, maabara, safes & security sysstems, etc. hazipo
3. Wanategemeana mashirika ya kimataifa kuendesha shughuli zaonyingi hivyo hawawezi kuhamia Dodoma wakati mashirika hayo bado yapo DAR.
Na sababu nyinginezo;
Cha ajabu ni kwamba taasisi nyingine zenye nature hiyohiyo tayari zipo Dodoma, au viongozi tayari wapo Dodoma na Dar wamebaki watendaji/wataalamu tu.
Hebu tutaje taasisi hizo hapa na ikiwezekana Wakurugenzi wake wanaotumia ujanja kubaki Dar, ili Serikali ijue "KIKULACHO" kilicho nguoni.
Karibuni.
 
Umeandika nini sasa?
 
whts so special with dodoma?
 
Na Mimi nasubiri hizo taasisi kuzijua kabisa maana huo Utani kabisa,maana Kama raisi wetu Mpendwa anaenda mwezi December je yeye si zaidi ya hao watu.
 
Back
Top Bottom