="kavulata, post: 18756834, member: 96015"]nani kaondoka baada ya miaka 5?[/QUOTE]
Mkuu naona kama bile hujanielewa. Mimi nimeongelea katiba isemavyo juu ya vipindi vya uchaguzi mkuu ni kila baada ya miaka 5. Ni kweli haijawahi kutokea rais akaongoza kwa miaka 5 alafu akaachia kiti cha urais, swali la kukuuliza je nchi yetu imeshawahi kuongozwa na vhama pinzani tangia tuingie katika sera za vyama vingi? Jibu ni hapana zaidi ya mihula yote ya uchaguzi kushinda CCM. Kwasababu CCM ina sera ya kumpitisha tena mwenyekiti wa chama/rais wa nchi kama presidential candidate kwa muhula wa pili wa uchaguzi mkuu na kushinda, inaonekana kama rais anaongoza miaka 10. Ila ujue katiba ya nchi inasemaje kwanza. Refer to my first comment