Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyoooooo!!!! umegusa high tension wire? jadili hoja kwa manufaa ya jamii achana na vitu vidogovidogo (trivial) kama IQ ambayo nina uhakika huijui vizuri
Yule wa GAMBIA (jemmeh)nani kaondoka baada ya miaka 5?
Uhakika upo 100% kama Watanzania tuliomba Mungu naye akatusikia kwa kutupa huyu Rais Mpenda Nchi yke,,Nimekuja mbio kusoma nikidhani ni mada ya maana, una uhakika gani kuwa Magufuli atashinda tena 2020?
Mkuu naona kama bile hujanielewa. Mimi nimeongelea katiba isemavyo juu ya vipindi vya uchaguzi mkuu ni kila baada ya miaka 5. Ni kweli haijawahi kutokea rais akaongoza kwa miaka 5 alafu akaachia kiti cha urais, swali la kukuuliza je nchi yetu imeshawahi kuongozwa na vhama pinzani tangia tuingie katika sera za vyama vingi? Jibu ni hapana zaidi ya mihula yote ya uchaguzi kushinda CCM. Kwasababu CCM ina sera ya kumpitisha tena mwenyekiti wa chama/rais wa nchi kama presidential candidate kwa muhula wa pili wa uchaguzi mkuu na kushinda, inaonekana kama rais anaongoza miaka 10. Ila ujue katiba ya nchi inasemaje kwanza. Refer to my first comment[/QUOTE]="kavulata, post: 18756834, member: 96015"]nani kaondoka baada ya miaka 5?