Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ukikosa cha kuandika fanya mengine... CHADEMA is there to stay!Ndugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Ukikosa cha kuandika fanya mengine... CHADEMA is there to stay!
Ulikuwa unamsifia sana Magufuli sasa Chama kimerudi kwa wenye CCM yao Mwendazake kawakimbia mmebaki yatimaNdugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Hapa kuna hoja au kiroja mataga?Kamanda jenga hoja...acha kuweweseka
RubbishNdugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Kuna mambo muhimu ya kujadili wewe kila ukiibuka ni kutafuta jambo la kuitaja Chadema tuu!Ndugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Ulikuwa unamsifia sana Magufuli sasa Chama kimerudi kwa wenye CCM yao Mwendazake kawakimbia mmebaki yatima
Kuna mambo muhimu ya kujadili wewe kila ukiibuka ni kutafuta jambo la kuitaja Chadema tuu!
Leta hoja zako hapa kuhusu yanayoendelea ndani ya chama chako kipya ccm ambacho kimerudi kwa wenyewe kutoka kwa wapendao kulambwa makalio.
Hujawahi kutumia akili hata siku moja, huo ndio ukweli
CHADEMA watashiriki uchaguzi chini ya NEC hii hii wala huhitaji rocket science kuliona hilo.Ndugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
MATAGA mnahaha. Mliingizwa mkenge na Mwendazake kuwa atadumu milele, kaondoka, kawaacha yatima, hamna pa kushikilia. Mtaisoma nambaNdugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Vipi mkuu ushamalizana na jambazi?MATAGA mnahaha. Mliingizwa mkenge na Mwendazake kuwa atadumu milele, kaondoka, kawaacha yatima, hamna pa kushikilia. Mtaisoma namba
MATAGA mnahaha. Mliingizwa mkenge na Mwendazake kuwa atadumu milele, kaondoka, kawaacha yatima, hamna pa kushikilia. Mtaisoma namba
CHADEMA watashiriki uchaguzi chini ya NEC hii hii wala huhitaji rocket science kuliona hilo.
Mi naona CHADEMA wamedandia msimamo wa CUF bila kujipanga. Ukweli CHADEMA hawatadumu kwenye msimamo huu hasa ukizingatia ACT hawajasusa.Ndugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.
Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.
Muda utathibitisha
Wakati mwingine kujenga hoja kutoka kwenye kioja ni simple definition ya Ujinga.Kamanda jenga hoja...acha kuweweseka
Rubbish