Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,619 Reaction score 11,630 May 30, 2018 #2 Jamani! Sio njaa. No hamu tu ya tunda
Tachu hano JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,627 Reaction score 2,874 May 30, 2018 #3 kipi kigeni hapo?
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,311 Reaction score 46,810 May 30, 2018 #4 Kijijini huko,na kijani chote hicho,njaa inatoka wapi?
M Makuta JF-Expert Member Joined Jul 20, 2014 Posts 924 Reaction score 960 May 30, 2018 #5 Idimi said: Jamani! Sio njaa. No hamu tu ya tunda Click to expand... Swadakta
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,102 May 31, 2018 Thread starter #6 Darmian said: Kijijini huko,na kijani chote hicho,njaa inatoka wapi? Click to expand... Tumboni mkuu
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,102 May 31, 2018 Thread starter #7 THE BADDEST said: kipi kigeni hapo? Click to expand... Magwanda hayo kufanya nje ya kazi yake.Hana discipline anaweza lishwa hata chakula chenye madawa ya kulevya akiwa lindo na kuporwa!
THE BADDEST said: kipi kigeni hapo? Click to expand... Magwanda hayo kufanya nje ya kazi yake.Hana discipline anaweza lishwa hata chakula chenye madawa ya kulevya akiwa lindo na kuporwa!
K KALENDA Member Joined Jan 21, 2011 Posts 72 Reaction score 28 May 31, 2018 #8 Jackal said: Magwanda hayo kufanya nje ya kazi yake.Hana discipline anaweza lishwa hata chakula chenye madawa ya kulevya akiwa lindo na kuporwa! Click to expand... Ni kweli anayoyafanya ni tofauti na kazi yake hata hivyo sidhani kama alikuwa anataka kula hilo tunda, hapo pembeni mkono wetu wa kulia kuna mtoto ambae nadhani ameomba asaidiwe kuangua hayo matunda.
Jackal said: Magwanda hayo kufanya nje ya kazi yake.Hana discipline anaweza lishwa hata chakula chenye madawa ya kulevya akiwa lindo na kuporwa! Click to expand... Ni kweli anayoyafanya ni tofauti na kazi yake hata hivyo sidhani kama alikuwa anataka kula hilo tunda, hapo pembeni mkono wetu wa kulia kuna mtoto ambae nadhani ameomba asaidiwe kuangua hayo matunda.
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 May 31, 2018 #9 tatizo watu wamezoea town wanakula maembe yaliyopakwa pilipili na chumvi, lazima ashangae wa kijijini wanakula kutoka kwenye mti moja kwa moja
tatizo watu wamezoea town wanakula maembe yaliyopakwa pilipili na chumvi, lazima ashangae wa kijijini wanakula kutoka kwenye mti moja kwa moja
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 May 31, 2018 #10 kwani si anamsaidia uyo binti au
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,872 May 31, 2018 #11 Anaangua embe kwa ajili ya mpiga picha
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 May 31, 2018 #12 Si angetumia SMG tu
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,527 Reaction score 16,232 May 31, 2018 #13 Askari wa Zimbabwe ?
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,767 Reaction score 22,041 May 31, 2018 #14 James Comey said: Askari wa Zimbabwe ? Click to expand... Itakuwa Uganda
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,002 May 31, 2018 #15 Watu wenye njaa wangekuwa na siha njema kiasi hicho, basi tungefika mbali
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,549 Reaction score 94,242 May 31, 2018 #16 Hahahahaaa hata kama njaa hii imezidi πππππππ.
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,375 Reaction score 2,193 May 31, 2018 #17 huu ni uchochezi wa waziwazi, hahaa ayo maembe ya bure ndio maana unaona kamanda kayakomalia..
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,006 Reaction score 4,617 May 31, 2018 #18 hahahahah shikamooo njaa
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,102 May 31, 2018 Thread starter #19 Idimi said: Jamani! Sio njaa. No hamu tu ya tunda Click to expand... Sasa ana hamu ya tunda kwani hilo ni shamba lake unafikiri?
Idimi said: Jamani! Sio njaa. No hamu tu ya tunda Click to expand... Sasa ana hamu ya tunda kwani hilo ni shamba lake unafikiri?