Njaa bana!

Hahahah....alikuwa anawatega wenye njaa
yani ningekuwa mimi pale halafu nichukue nafasi ya Eiyer, huhuhuuu, kingeeleweka jioni hiyo!

nakuja pm unioneshe kama huyo dada alivyowapagawisha hawa watu, sawa mrembo?
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah wewe tena rais wa mabazazi....yawezekana ungeahirisha hata kwenda kibaruani...mimi hata sitegi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…