niwafanyeje hawa wanawake?

niwafanyeje hawa wanawake?

Bishanga, ukianza kukohoa naomba tusisogeleane, ukakoholee hukoo baharini vidudu vyako viende na upepo
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kongosho ninavomjua, anaweza kweli kwenda maeneo hayo tena akiwa amekula kungu? Au Bishanga amemfananbisha...kwamba hommie wangu Asprin amemmshindwa kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Niite nije hapo fasta mkuu. Ah sore nimekumbuka kumbe nilishaoa mke nimpendaye Lady doctor.


Shindwa pepo!

cc Filipo
 
Last edited by a moderator:
umezidi sana ndugu yangu huoni kuwa tabia hiyo ni mbaya na haimpendezi muumba wako wewe kazi yako ukipata vijisent ndo unapagawa kiasi hicho na bado watakutoa roho ndo uone kuwa kaburi ni shimo au sehemu ya kufunikwa watu.
Bishanga niko Didis masaki, nikigeuka kushoto oh bishanga kam zis wei,nikigeuka kulia jamani bishanga long time no see,nikigeuka nyuma darling bishanga naomba ela nikatoe mimba yako,mbele yangu namwona Kongosho kala kungu mtotonwa kike kalegea......ushauri tafazali naondokaje eneo la tukio mtoto wa kiume mie?
Cc: Mtambuzi
 
Back
Top Bottom